Una ufinyu wa akili wewe! Huyo msaliti Ayatollah
Zitto aliyefukuzwa Chadema kwa kuchukua mikakati ya chama uchaguzi wa 2010 na kuipeleka ccm unaweza kumuita mpinzani?
Huyo aliyekuwa busy kuongea na Rostam miezi michache kabla ya uchaguzi wa 2010 akitoa siri za mipango ya chama kisha alipoulizwa namba yake ya simu ilikuwa inaongea na namba ya Rostam walikuwa wanaongea nini? Akabaki kung’ang’ania macho!?
Akaulizwa hii ni namba yako au si namba yako? Jibu lake ni namba yangu lakini sijaitumia miezi mingi sana. Swali sasa hiyo simu umempa mtu mwingine? Hapana. Je, imejipiga yenyewe kwenda kwa Rostam? Hapana. Sasa mlikuwa mnaongea na Rostam kitu gani miezi miwili kabla ya uchaguzi!!!?
KIMYAAAAAA! Usiandike ujinga wako humu kuhusu
ACT Wazalendo AKA ACT Wasaliti.