ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ww kila nyakati ni kulia liaHuyu Mama ni tatizo na ameamua kurithi na kuyaenzi baadhi ya mambo ya hovyo ya Mwendazake yaliyotuharibia hii nchi.
Kwa kifupi, hatoshi na bora muda wake uishe aondoke.
Hata Katiba Mpya sidhani kama itakuwa ni moja ya vipaumbele vyake kwani inaonekana ameanza kufurahia hii katiba mbovu inayompa mamlaka makubwa ya kufanya atakavyo.
Watu wengine bhana,Hamna lolote mkuu, hamnaga hoja wala agenda iliyo na malengo ya kitaifa. Nyinyi ni kupinga tu kila lifanywalo.
Hamuwezi kukaa kimya mbona kipindi cha jiwe mliufyata?? Shukuruni kwamba Marais waislam wana hekma na busara.
Kwa kutumia hizo hizo kodi zenu jiwe alifanya anavyotaka na mliufyata kimyaaaa hakuna cha kodi zenu wala nini.
Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya Rais.
Mapambio yenu ya kumsifu mama kama mwanzo hayapo tena?Narudia tena sina imani na huyo Maza. Naona anakurupuka tu na teuzi zake. Sijui hata kama anauliza maswali ya kina kwa hao wanaofanya vetting. Na hao wanaofanya vetting ni watu makini kweli wanaoweka mbele maslahi ya Nchi au WANADEMKA tu ili siku iingie? Kuna OMBWE kubwa sana la uongozi nchini.
Na mkiendelea hivi hiyo habari ya mikutano na the so called wapinzani wa kweli itapotelea hewani. Haina hata haja ya kuwakaribisha.
Sisi tutamkumbusha aachane na hizo habari maana Mheshimiwa Kikwete alifanya hivyo na hakuna tija yoyote iliyopatikana law kukutana na hao wanaojiita wapinzani wa kweli. Zaidi zaidi walikwenda tu kunywa chai ikulu na kuongeza gharama zisizo za msingi.
Kwa tabia zenu hizi Wallahi haya mambo ya katiba mpya na tume huru pia yanaweza yakapeperuka na to be honest my friend hamna mtakaloweza kumfanya mama. Ni hisani na busara zake tu. Ni mapenzi yake kwa taifa lake tu, hivyo musitake kumvuruga.
Eti anatoka mtu na kusema hatuwezi kumbembeleza na tutapaza sauti. You are not being realistic.
Muwe na staha wakuu
Labda tukisema upinzani wa nchi hii tunakosea. Mbona @ACT Wazale@ACT ni wapinzania lakini wanakosoa, kushauri na kushiriki kwa staha???Upinzani ndani ya nchi hii ni hopeless
mnataka mama awafanyie nini?
amteue mbowe kuwa dc ndio muone yuko sahihi?
mmepewa uhuru sasa mnajizungusha nchi nzima mnahubiri mambo yenu bila usumbufu kitu ambacho hakikuwepo kwa miaka 5 iliyopita lakini bado mama mbaya
muwe na upeo wa kushukuru
Hamna chama hapoo,ni genge la wahuni wa kichaga tu wanajificha kwa mgongo wa kisiasa.Wapo kama wake wenza kutwa kulalamika,hawana ajenda yoyote na hata ukikaa nao ni empty mindHuwa mnashangaza Sana yaani mnataka katiba kwa sababu ya uchaguzi? Mozambique ya Samora, ANC ya Mandela na wenzake, Mugabe na wenzake, Museveni na wenzake , Kagame , etc walishinda na waliingia madarakani bila katiba mpya, hawakupiga kelele za kimama mama kama zenu.
Siasa zenu na mikakati yenu ni kitoto kitoto , Kila siku mlalilia kupata biscuits ambazo hamna uwezo nazo ili Hali mnasubiriwa kupewa na baba yenu.
Pambaneni kama wenzenu badala kukaa na kuandika Kama umelewa pombe za ofa.
Lini mshawahi kua na akili nyumbuuu,mnasubiri gia angani tu mtuletee mafisadi kugombea Urais.Kwa ufinyu wa akili yako. Watu wamekuwa wastaarabu kwa miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi lakini maccm yamekuwa yakijizungusha zungusha tu kwa kujua fika kwamba Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni kaburi ka maccm.
Eti sisi tutamkumbusha!!! Wewe kama nani? Nani aliye kudanganya kwamba una hati miliki ya Tanzania? Au maccm yana hati miliki ya Tanzania au Samia ana hati miliki ya Tanzania?
Acha kuandika ujinga Tanzania ni yetu sote na tumepitia kipindi kigumu sana cha kufikia hadi Watanzania kuuawa eti kosa lao ni kuikosoa Serikali ya kidhalimu ya dikteta magufuli.
Hakuna sababu ya huyo mama kutia pamba masikioni hatuhitaji kuwa na vurugu ili kuhakikisha tuna chaguzi huru na za haki ambazo zitalindwa na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na siyo uhuni, wizi na mauaji ya kutisha tuliyoyaona 2020.
Labda tukisema upinzani wa nchi hii tunakosea. Mbona @ACT Wazale@ACT ni wapinzania lakini wanakosoa, kushauri na kushiriki kwa staha???
Hiki kikundi cha watu lengo lake ni kuingia tu madarakani hata kwa ghiliba, fujo, au hata kwa damu.
Hawana jema hawa, tulipiga kelele weeee kwamba vijana washirikishwe, Leo vijana wanashirikishwa bado wanapiga kelele only because hawateuliwi wao. Yaani wao lazima wateuliwe wao tu.
Watakwambia kuhubiri na kuzunguka nchi nzima sio hisani, lakini kwa miaka mitano waliufyata hawa.
Time yao inakuja na ikifika hatutotaka kuskia malalamiko.
Tofautisha ustaarabu na kutokuwa na uwezo. Sio ustaarabu, bado upinzania hawana uwezo wa kuendesha nchi, hawana technical know how, hawana hata enough personnel wa kushika nafasi za uongozi. Miaka 30 ya existence ndio sasa wanajenga ofisi. Wewe halikushangazi??? Pesa za ruzuku walikuwa wanagawana wahuni wachache Leo hazipo eti ndio mnajifanya kuchangisha watu, pumbavu sana!!!Kwa ufinyu wa akili yako. Watu wamekuwa wastaarabu kwa miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi lakini maccm yamekuwa yakijizungusha zungusha tu kwa kujua fika kwamba Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni kaburi ka maccm.
Eti sisi tutamkumbusha!!! Wewe kama nani? Nani aliye kudanganya kwamba una hati miliki ya Tanzania? Au maccm yana hati miliki ya Tanzania au Samia ana hati miliki ya Tanzania?
Acha kuandika ujinga Tanzania ni yetu sote na tumepitia kipindi kigumu sana cha kufikia hadi Watanzania kuuawa eti kosa lao ni kuikosoa Serikali ya kidhalimu ya dikteta magufuli.
Hakuna sababu ya huyo mama kutia pamba masikioni hatuhitaji kuwa na vurugu ili kuhakikisha tuna chaguzi huru na za haki ambazo zitalindwa na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na siyo uhuni, wizi na mauaji ya kutisha tuliyoyaona 2020.
Tofautisha ustaarabu na kutokuwa na uwezo. Sio ustaarabu, bado upinzania hawana uwezo wa kuendesha nchi, hawana technical know how, hawana hata enough personnel wa kushika nafasi za uongozi. Miaka 30 ya existence ndio sasa wanajenga ofisi. Wewe halikushangazi??? Pesa za ruzuku walikuwa wanagawana wahuni wachache Leo hazipo eti ndio mnajifanya kuchangisha watu, pumbavu sana!!!
Sisi Watanzania tuliomchagua, au kama unajitia ukichaa na kujisahaulisha kizembe, kaa ukijua mama yupo kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi. Wana-CCM waliowengi na wananchi walioridhishwa na kuichagua ilani ya CCM ndio mama anafanyia kazi maoni yao. Hivi ndivyo mnavyotaka twende nyinyi.
Kumbe mnajua Tanzania ni yetu sote sasa kelel za nini?? Au Nassari sio Mtanzania?? Acheni ujinga na chuki na wivu huo. Kisa kahamia CCM???? Mmepitia kipindi kigumu kwa sababu ndivyo mnavyotaka. Mlipopitishwa kipindi cha kistaarabu na kuthaminika na mzee Kikwete mliishia kumtukana. Waarabu wanao msemo wao unasema "punda haendi isipokuwa kwa magongo" hilo ndio mnalolitaka.
Mama anatuongoza kwa busara na hekima na kutushirikisha sote nyinyi kila analolifanya halina jema.
And just for your information, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo madhubuti na hakutakiwa na vurugu yoyote. Mkileta ujinga wenu uchaguzi utafika, mtashindwa kama kawaida na haitotokea vurugu yoyote.
Beware!!!!
Aamyn aamyn.Rais Samia Suluhu Hassan alipata kutuambia awamu hii anatekeleza yote aliyokua yamepangwa kutekelezwa na JPM yeye akiwa makumu, pamija na kuboresha kunakohitajika
Sijui kwanini kuna watu hawamuelewi
Chuma JPM alinoa chuma SSH
Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tulindie Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan
Nakuamini uyasemayo mkuu.Hamna chama hapoo,ni genge la wahuni wa kichaga tu wanajificha kwa mgongo wa kisiasa.Wapo kama wake wenza kutwa kulalamika,hawana ajenda yoyote na hata ukikaa nao ni empty mind
Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya.
View attachment 1825048
View attachment 1825050
Hamna chama hapoo,ni genge la wahuni wa kichaga tu wanajificha kwa mgongo wa kisiasa.Wapo kama wake wenza kutwa kulalamika,hawana ajenda yoyote na hata ukikaa nao ni empty mi
Nyinyi kila mtu ni msaliti. Yaani msalitiwe nyinyi tu???? Hata mwanamke wako akikusaliti kabla hujamhukumu basi jiulize kwanza kwani imekuwaje akakusaliti???Una ufinyu wa akili wewe! Huyo msaliti Ayatollah Zitto aliyefukuzwa Chadema kwa kuchukua mikakati ya chama uchaguzi wa 2010 na kuipeleka ccm unaweza kumuita mpinzani?
Huyo aliyekuwa busy kuongea na Rostam miezi michache kabla ya uchaguzi wa 2010 akitoa siri za mipango ya chama kisha alipoulizwa namba yake ya simu ilikuwa inaongea na namba ya Rostam walikuwa wanaongea nini? Akabaki kung’ang’ania macho!?
Akaulizwa hii ni namba yako au si namba yako? Jibu lake ni namba yangu lakini sijaitumia miezi mingi sana. Swali sasa hiyo simu umempa mtu mwingine? Hapana. Je, imejipiga yenyewe kwenda kwa Rostam? Hapana. Sasa mlikuwa mnaongea na Rostam kitu gani miezi miwili kabla ya uchaguzi!!!?
KIMYAAAAAA! Usiandike ujinga wako humu kuhusu ACT Wazalendo AKA ACT Wasaliti.