The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Keko ipo Ruvuma siku hizi?Kutoka Ruvuma mpaka Ukonga ni hela za umma hizo zinatapanywa!
Kuishabikia CCM au kuwa mwana CCM kwa Sasa ni lazima uwe na sifa kati ya hizi:Keko ipo Ruvuma siku hizi?
🤝Kutoka Ruvuma mpaka Ukonga ni hela za umma hizo zinatapanywa!
1. 12Kuishabikia CCM au kuwa mwana CCM kwa Sasa ni lazima uwe na sifa kati ya hizi:
1. Mshamba
2. Katili
3. Fisadi
4. Chawa
5. Mshirikina
6. Muombea wengine mabaya
7. Punguani
8. Mzushi
9. Mfitini
10. Muongo
11. Mbinafsi
12. Siyo Mzalendo
Tena kwa kesi mchongoKutoka Ruvuma mpaka Ukonga ni hela za umma hizo zinatapanywa!
nilidhani ulikufa umfuate Jiwe , maana ulipotea jamvini leo na siku kidogo nyuma naona unaibuka mmetuchosha...M23Sawa G 55
Inawezakana alikuwa na jukumuu maalumu la uchawa.nilidhani ulikufa umfuate Jiwe , maana ulipotea jamvini leo na siku kidogo nyuma naona unaibuka mmetuchosha...M23
Mbowe ainunue TLP 😂nilidhani ulikufa umfuate Jiwe , maana ulipotea jamvini leo na siku kidogo nyuma naona unaibuka mmetuchosha...M23
😂😂😂Inawezakana alikuwa na jukumuu maalumu la uchawa.
Hawajali wala hawaogopiKutoka Ruvuma mpaka Ukonga ni hela za umma hizo zinatapanywa!
Jamaa si kimada wa Mwenyekiti wa Kanda bwana madevu🤣Sawa G 55
Mzee vp?
Mwizi wa kura au anaeamini katika wizi wa kuraKuishabikia CCM au kuwa mwana CCM kwa Sasa ni lazima uwe na sifa kati ya hizi:
1. Mshamba
2. Katili
3. Fisadi
4. Chawa
5. Mshirikina
6. Muombea wengine mabaya
7. Punguani
8. Mzushi
9. Mfitini
10. Muongo
11. Mbinafsi
12. Siyo Mzalendo