PreGE2025 Martin Maranja Masese: Tumefika gereza la Ukonga, Tundu Lissu yupo salama

PreGE2025 Martin Maranja Masese: Tumefika gereza la Ukonga, Tundu Lissu yupo salama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona mlikuwa mnabwabwaja. Mnatuboa na mikelele yenu mkadhani nchi hii mmepewa ninyi tu.
Kubwabwaja ndiyo kukoje?

Watu wenye akili timamu wakiondoka makwao wakiwa wamefunga mlango, wakirudi wakikuta mlango upo wazi ni lazima waulize KULIKONI?

CHADEMA wameonesha ukomavu na utimamu wa akili zao. Lissu alitoka mahakamani nyaraka zote zikionesha kuwa anapelekwa gereza la Keko. Sasa wao walipomkosa ndiyo wakahoji kapelekwa wapi?

Wewe unaona CHADEMA walikuwa wanabwabwaja, lakini Jeshi la magereza wamewajibu kwa kuwa wanajua CHADEMA hawabwabwaji bali wana hoja ya msingi.
 
Hata lissu alipotoka dar hadi ruvuma alikuwa anatapanya hela za umma.
Tone tone na ruzuku ni hela za umma, au unafikiri Lissu alilima karanga huko ikungi akauza akapata hela za kutapanya?
Lissu alikuwa anafanya kazi halali ya kisiasa!
 
Mimi ni mpenzi wa Forsyth,the。Devils Altenative ndio kitabu changu cha kwanza, nikaja kuvisaka vyote
P

Mkuu unaliona vipi hili la kuwa salama mikononi mwa watesi wako?

Wafungwa wanaoachiliwa na waisiraeli kwenye mabadilishano yale, vipi au nani anaweza kuhakikisha usalama wao miezi 2 au miaja 2 baadaye?

Kwamba hawa jamaa wanaweza kumshikilia mtu, itakuwa too naive kudhani tunaweza toka salama mikononi mwao.

Au nasema uongo?
 
Kuishabikia CCM au kuwa mwana CCM kwa Sasa ni lazima uwe na sifa kati ya hizi:

1. Mshamba

2. Katili

3. Fisadi

4. Chawa

5. Mshirikina

6. Muombea wengine mabaya

7. Punguani

8. Mzushi

9. Mfitini

10. Muongo

11. Mbinafsi

12. Siyo Mzalendo
Mzee naona una hasira sana watu wapo CCM kutafuta frusa.Hata wewe wakikumegea hako kakeki ukijiramba kidogo unasahau yote hayo ulioandika .CCM kuna frusa kama kulivyo kwa Shetani.
 
Mbowe ainunue TLP 😂
Au NCCR. Hivi anaweza kuthubutu kuinunua ACT-Wazalendo ya Zitto?

Hebu tuletee vitu vipya ulivyo fundishwa kwenye 'sabbatical' ya hivi karibuni. Haya mambo ya kizamani tumechoka nayo. Kuna watu humu walisema umemfuata 'Jiwe'!
 
Au NCCR. Hivi anaweza kuthubutu kuinunua ACT-Wazalendo ya Zitto?

Hebu tuletee vitu vipya ulivyo fundishwa kwenye 'sabbatical' ya hivi karibuni. Haya mambo ya kizamani tumechoka nayo. Kuna watu humu walisema umemfuata 'Jiwe'!
😂😂
 
Mjinga wewe!

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Back
Top Bottom