Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kubwabwaja ndiyo kukoje?Mbona mlikuwa mnabwabwaja. Mnatuboa na mikelele yenu mkadhani nchi hii mmepewa ninyi tu.
Lissu alikuwa anafanya kazi halali ya kisiasa!Hata lissu alipotoka dar hadi ruvuma alikuwa anatapanya hela za umma.
Tone tone na ruzuku ni hela za umma, au unafikiri Lissu alilima karanga huko ikungi akauza akapata hela za kutapanya?
Mimi ni mpenzi wa ForsythοΌtheγDevils Altenative ndio kitabu changu cha kwanzaοΌ nikaja kuvisaka vyote
P
Mzee naona una hasira sana watu wapo CCM kutafuta frusa.Hata wewe wakikumegea hako kakeki ukijiramba kidogo unasahau yote hayo ulioandika .CCM kuna frusa kama kulivyo kwa Shetani.Kuishabikia CCM au kuwa mwana CCM kwa Sasa ni lazima uwe na sifa kati ya hizi:
1. Mshamba
2. Katili
3. Fisadi
4. Chawa
5. Mshirikina
6. Muombea wengine mabaya
7. Punguani
8. Mzushi
9. Mfitini
10. Muongo
11. Mbinafsi
12. Siyo Mzalendo
Nitumie na Mimi Kwa pm naipenda Sana hiyo kitu
Wengine sisi ni kama kina Meshack na Abednego ambao hatupigi magoti kumuabudu shetani!CCM kuna frusa kama kulivyo kwa Shetani.
NakaziaKutoka Ruvuma mpaka Ukonga ni hela za umma hizo zinatapanywa!
13 Shoga baridiKuishabikia CCM au kuwa mwana CCM kwa Sasa ni lazima uwe na sifa kati ya hizi:
1. Mshamba
2. Katili
3. Fisadi
4. Chawa
5. Mshirikina
6. Muombea wengine mabaya
7. Punguani
8. Mzushi
9. Mfitini
10. Muongo
11. Mbinafsi
12. Siyo Mzalendo
Au NCCR. Hivi anaweza kuthubutu kuinunua ACT-Wazalendo ya Zitto?Mbowe ainunue TLP π
ππAu NCCR. Hivi anaweza kuthubutu kuinunua ACT-Wazalendo ya Zitto?
Hebu tuletee vitu vipya ulivyo fundishwa kwenye 'sabbatical' ya hivi karibuni. Haya mambo ya kizamani tumechoka nayo. Kuna watu humu walisema umemfuata 'Jiwe'!
Mjinga wewe!Kumwona sawa, ila kuwa salama hilo ni suala jingine.
Ninamalizia kusoma hii: " The devil's Alternative." -- Frederick Forsyth.