Martin Maranja Masese: Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia Migulu

Martin Maranja Masese: Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia Migulu

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia mtu aliyewafanya wakagoma kwa siku tatu mfululizo wakisema amehusika kuleta na kukusanya kodi kwao kwa nguvu.

Hii kitaalam inaitwa Stockholm syndrome. Watanzania ni viumbe spesheli kabisa.

 
Wanamwambia yale madongo asichukulie personal ni business tu wenyewe wala hawana issue naye.
 
Mmm naye kaingia Cha kike,haoni hata background photo ajiridhishe?
 
Back
Top Bottom