Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia mtu aliyewafanya wakagoma kwa siku tatu mfululizo wakisema amehusika kuleta na kukusanya kodi kwao kwa nguvu.
Hii kitaalam inaitwa Stockholm syndrome. Watanzania ni viumbe spesheli kabisa.
Wale sio "wafanyabiashara" wa Kariakoo bali ni washabiki wa Yanga wa Kariakoo na kama kuna biashara wanafanya ni umachinga.
Kwani wanachinga ndio waliogoma Kariakoo?