Uchaguzi 2020 Martin Munisi amfikisha Mbowe mbele ya Kamati ya Maadili

Uchaguzi 2020 Martin Munisi amfikisha Mbowe mbele ya Kamati ya Maadili

Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
You are so damn "wrong" msinge piga magoti au kulaza makalio kwa stage
 
Pumba tupu, hivi hunaga point za kuandika kila siku unakuja na uharo tu
Hahaha nyie watu hampeeeendi kusikia machungu yanayokuumiza..hahaha vumilia jomba sindano ikuingieeee sawiaa
 
Tujifunze siasa, siasa ina Mambo mengi na Kama sio mvumilivu au huna uwezo wa kupangua hoja siasa unakua sio mahali pako vyema tafuta kazi nyingine ya kufanya,wakati mwingine kutokana na tetesi unalushiwa mziki,so Kama ujashutuka unapanic na kwenda kwenye kamati na kufanya hata mwananchi ambae hayuko katika Jimbo lako anaanza kufuatilia kulikoni, kumbe ilitakiwa ujipange na uje na mziki mzito ,tz siasa bado Sana
 
Wewe haikosi utakuwa mnufaika wa huu utawala wa kishamba!!
Utawala was kishamba mnauita kwa sababu unawajengea barabata, mahospitali, madege, maviwanja ya ndege, elimu bureeee,madawa yamelundikana mahospitalini, hospital Kila kata, maflaiova, mafisadi kukimbia, maadili na wizi hakuna, SGR, nyerere dam, madini ndio usiseme, gawiwo teletele, na mengimengi mpaka Mwenyezi Mungu akaamua mpaka Corona aifutilie mbali kule, watanzania wote wawe salama..pamoja nanwewe unayesema serikali ya kishamba..hiyo ndio serikali ya kishamba unayosema..sema lingine
 
RPC wa arusha anaingiaje kwenye hili hadi apewe nakala ya barua?
 
S
Wewe haikosi utakuwa mnufaika wa huu utawala wa kishamba!!
Sio yeye tu jomba sema asilimia 90 ya wananchi Ni wanufaika wa Magufuli nanserikali yake..tuko nyuma yake mjomba Magu mpaka kieleweke..mpaka mshike adabu shen...zzz.yyyy Sana
 
S

Sio yeye tu jomba sema asilimia 90 ya wananchi Ni wanufaika wa Magufuli nanserikali yake..tuko nyuma yake mjomba Magu mpaka kieleweke..mpaka mshike adabu shen...zzz.yyyy Sana
Wananchi wa familia yako!!
 
Hawa watu sasa hivi wanarecord speech nzima then wanaanza kuisikiliza word to word ili kutafuta sababu. Hatari kwelikweli!
 
Ukiwa na mtoto kila siku unakushitakia baba fulani kanipiga ujue umezaa boya na dhaifu
Ndo ccm kila sku kudeka deka tu
Mimi mtoto wangu alikuwa anakula bakola akija analia eti kapigwa sasa kesi zimeanza kuja kwangu kapiga wenzake.
 
Munisi Yuko sahihi .Jukwaani Mbowe alikuwa anatakiwa kunadi sera za za Chadema na atalifanyia Nini Jimbo Sio kumnadi negatively Munisi

Kamati ya Maadili imsikilize Munisi
Mmejiuliza faida mliyopata kwa kumzuia Lissu siku saba, what is the difference.
 
Hivi hata Mbuge anaweza kumshitaki mgombea wa uraisi kamati ya maadili?
 
Kwa Kifupi tu hapa na wala tusipotezeane sana muda tayari Mbowe ameshaingia katika 'Mtego' na mnaomsapoti mjiandae Kisaikolojia kwa BAN pia.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Ni dhaifu kama mlivyowanunua akina Molllel? Mwaka huu ccm kushney.
 
Back
Top Bottom