Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ooh ccm kifo cha mende, wanaomba msaada wa tume.Huyo Munisi ndio athibitishe kwamba hamiliki genge.
Mbowe siku 7 zinakuhusu
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh ccm kifo cha mende, wanaomba msaada wa tume.Huyo Munisi ndio athibitishe kwamba hamiliki genge.
Ujinga mtupu. Wewe Martin Munisi kweli ni dume suruali. Kajiunge na wanaume wa Dar. Mna sifa sawa. Malalamiko ya kitoto haya.Hai, Kilimanjaro
Mgombea udiwani Kata Ya Machame kupitia CCM Jimboni Hai, Ndugu Martin Munisi leo Mapema amefikisha Malalamiko yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi dhidi ya Mgombea Ubunge kupitia Chadema Ndugu Freeman Mbowe
Malalamiko ya Martin Munisi ni kuwa Mgombea Wa Chadema Ndugu Freeman Mbowe mnamo Tarehe 07/09/2020 katika maeneo tofauti tofauti mfano kyeer na Nronga Jimboni Hai alimshutumu Diwani Martin Munisi kuongoza magenge ya wahalifu yanayoteka na kuumiza watu.
Munisi anadai alimpa Mbowe siku tatu za kumwomba Radhi au kudhibitisha lakini ameshindwa kufanya kufanya hivyo. Munisi amewasilisha Malalamiko yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi Ndugu Yohana sintoo Ili Mbowe athibitishe tuhuma hizo au amwombe radhi hadharani kama alivyofanya otherwise achukuliwe hatua Kali za kimaadili ikiwemo kufungiwa kufanya kampeni ama kuondolewa kabisa kwenye kinyang'anyiro kwa ukosefu wa maadili.
Hai, Kilimanjaro