Tetesi: Martin Shigella Katibu mkuu CCM, Mwanri kuwa RC Tanga

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.

Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi.

Majina ya Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa.

Jina la Makongoro limekuwepo na kulijadili sana take this also.

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa Katibu
1. Martin Shigella
2. Harrison Mwakyembe
3. Asha Migiro
4. Mwanazuoni wa UDSM
5. Makongoro NYERERE
6. Emmanuel Nchimbi

Nafasi ya Shigella anaiziba Aggrey Mwanri, akikataa Mwegelo ameula

Britanicca
 
Majina 2 3 5 ni age ya mkiti sidhani sana atataka waliopita uvccm na chamani

1. Shigela + ex Km uvccm
2, sixtus mapunda- ex Km uvccm
3. Emanuel nchimbi+ ex Mkit uvccm Taifa
4 Amos makala- ex Km uvccm na mwekahazina
5 Roderick mpogolo naibu sasa
6 silima - ktb organizesheni
 
Vipi kuhusu Prof. Jay? Kupata uteuzi hivi punde tu!?
 
Je Huyu akibwaga Manyanga ???
Maana alishasema
 
Mnaharibia watu kwa makasudi

Namba 1,6 muda wowote watasogea juu ya nafasi zao.
 
Acheni umbea mtafute ukweli msionekane waongo na wazushi. Nani alikwambia? Bila kutaja chanzo chako, unatwanga maji na kuonyesha ulivyo na tabia ya umbea.
 

Sio kweli. Enzi zile yes. JPM haendi sambamba na wapiga ramli wa CCM
 
Ramli chonganishi
 
Mkuu, acha ramli chonganishi hizo, unaweza kutupeperushia ndege wetu. Kamanda Magu siyo wa kuendea kwa mganga kupiga ramli!
 
mere speculations..........................
 
Mijamaa ya uchafuzi.
 
Hizi sio zama za kiku boy unatabiri kilakitu,sasahv tuna jiwe kwelikweli anafikiri mwenyewe anaamua hata makamu au waziri mkuu anakuwa surprised!! Jiulize we nani mpaka uanze kujua??
Ila mkuu angempa makonda ubalozi hasa South Africa a promote mziki na biashara na akazuie madawa ubalozi wetu kule ametulia sana
 
........siasa za Tanzania Safi Sana mda wowote cheo kinapanda
 
Self Promo at work
 
Makondakta akajiajiri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…