Tetesi: Martin Shigella Katibu mkuu CCM, Mwanri kuwa RC Tanga

Aliye kuwa right hand man/leutenant wa Bashiru apewe kazi hiyo.
 
Tokea JPM aingie Ikulu, hakuna hata mmoja ambaye ametabiri Jambo nalo likatokea kama alivyotabiri, hata wewe unaota ndoto za mchana
 
Makonda is not clean. Mkuu alipolijua hilo, hana hamu naye.
 

Mwegelo Kisarawe oyeeeee??
 
Mwanri amestaafu kwa mujibu wa sheria!
 

Zanzibar haina nafasi? Vipi candidate mgombea kutoka kundi la lowasa?

Je rule number one tuliyozoea ya kanda pendwa haipo tena?

Mwisho wa reli ni sisi wasafisha viatu na kuvipaka mafuta badala ya kiwi tunaangaliwaje?

Yoote yaweza kuwa lakini sio makala wala mtu wa mwakaleli
 
Sahihi, Katibu atakuwa Muislam tena wa bara.
 
Wakimpa Mwakyembe mzee wa sumu wamejimaliza..huyu hadi jimboni walimkataa kwa kishindo
 
Katibu Mkuu wa CCM inabidi awe mtu ambaye anachukia ufisadi kwa dhati ya moyo wake. Aidha awe amejipambanunua kuwa ana uwezo wa kusimamia yale ambayo anayaamini. Kusema ukweli CCM ilikuwa imegubikwa na wachumia tumbo na hayo tunayaona km kudhulumiwa kwa jengo la Channel 10. Tunamsihi Mwenyekiti wa CCM aangalie "outside the box". Tunamwomba Mwenyezi Mungu amwongoze katika hilo.
 
No 7 muweke Nasari!!
 
Kada wa Chama Cha Mafisadi auchukie ufisadi?
 
Kwa shigella hapana hicho chama kitakuwa cha wasukuma, Mwenyekiti na Karibu wake
 
Mungu atampigania, ni obvious kuwa hajawahi kumwangusha katika mambo makubwa kama haya
 
Bonge la Arubadili ngoja tusubiri Vipi Jina lako HALIMO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…