round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina.
Israel ikajibu October 26, hawakurusha makombora, walipeleka wanajeshi, MARUBANI WA KIKE
OCTOBER 26, 2024 – SIKU AMBAYO IRAN HAWAWEZI KUISAHAU
- Viwanda vya utengenezaji wa droni vililipuliwa.
- Viwanda vya makombora ya balistiki viliangamizwa.
- Radars za kugundua ndege hazikusaidia, zilisambaratishwa.
- Mfumo wa ulinzi wa anga ulibomolewa kabisa.
- Ndege za Israel zilipita katikati ya jiji la Tehran kwa dharau huku mifumo ya ulinzi ikihangaika.
- Ndege zote zilizokwenda zilirejea salama bila mkwaruzo.
- Askari wanne wa Iran waliuawa.