Marubani wa kike walifanya shambulio la aibu na uharibifu mkubwa kwenye jamhuri ya kiislam ya Iran, kwanini Iran inasita kulipa kisasi?

Akina madhara kabisa,, lkn Iran Janja Janja sana wakataka Sababu ya Kisheria ndio wakatangaza kufa watu w4 na DAMAGES Seem chache!!! Kutika apo IRAN ikaenda UN kulalamikia kurudi hm ikatangazwa Promis no3 !!!!!
Chai
 
View attachment 3239752

Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina.

Israel ikajibu October 26, hawakurusha makombora, walipeleka wanajeshi

OCTOBER 26, 2024 – SIKU AMBAYO IRAN HAWAWEZI KUISAHAU
  • Viwanda vya utengenezaji wa droni vililipuliwa.
  • Viwanda vya makombora ya balistiki viliangamizwa.
  • Radars za kugundua ndege hazikusaidia, zilisambaratishwa.
  • Mfumo wa ulinzi wa anga ulibomolewa kabisa.
  • Ndege za Israel zilipita katikati ya jiji la Tehran kwa dharau huku mifumo ya ulinzi ikihangaika.
  • Ndege zote zilizokwenda zilirejea salama bila mkwaruzo.
  • Askari wanne wa Iran waliuawa.
Huku ni kudhalilishwa kulikopita maelezo, Iran imepigwa na wanawake, inakuwaje mpaka leo hawalipi kisasi?
God bless IDF

GOD BLESS ISRAEL
 
Muislam ukiwa vitani! Kifo chako kikisababishwa na Mwanamke- Uendi Peponi🤣🤣Bikra 72 nei
 
Hayo makombora yaliyorushwa na Iran yalikuwa na athari ndogo sana, Ni mtu moja tu alieuawa baada ua kombora kumalizia safari yake Palestina
Mgalatiaa kwenye ubora wake.wee unaona rahaa sana watu wasipo ishi kwa amani
 
View attachment 3239752

Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina.

Israel ikajibu October 26, hawakurusha makombora, walipeleka wanajeshi

OCTOBER 26, 2024 – SIKU AMBAYO IRAN HAWAWEZI KUISAHAU
  • Viwanda vya utengenezaji wa droni vililipuliwa.
  • Viwanda vya makombora ya balistiki viliangamizwa.
  • Radars za kugundua ndege hazikusaidia, zilisambaratishwa.
  • Mfumo wa ulinzi wa anga ulibomolewa kabisa.
  • Ndege za Israel zilipita katikati ya jiji la Tehran kwa dharau huku mifumo ya ulinzi ikihangaika.
  • Ndege zote zilizokwenda zilirejea salama bila mkwaruzo.
  • Askari wanne wa Iran waliuawa.
Huku ni kudhalilishwa kulikopita maelezo, Iran imepigwa na wanawake, inakuwaje mpaka leo hawalipi kisasi?
Sijui kwanini watu mnashabikia sana vita??
Au kwa sababu ni ya mbali na uhathiriki moja kwa moja??
Ushawahi kuwaza watoto na wazee wanavyohangaika na kufa kwenye vita??
Kama una watoto kawaangalie leo afu imagine unakuta maiti zao Chini ya kifusi Cha mchanga
Wazee wako je??
Acheni mzaha na vita. Tuwaombee Hawa watu
 
Ewe mgalatia kikombe hutakiepuka Hata iweje Hata ipite miaka mingapi hili ni deni na hakika Iran huwa analipa, US wanajua Hilo kwani na wao walilipwa walipo Fanya ujinga wao

🇮🇷🇮🇷🚨☄️ | Iran affirms its retaliation, Truthful Promise 3 will come

Deputy Commander of the IRGC, Fadavi:
🔸 "Operation Truthful Promise 3" will be executed at the right time. For 46 years, we have acted correctly to a considerable extent, and, God willing, we will continue to do so. Even Zionist officials themselves acknowledge that Hamas has won and they have been defeated."

@NEWWORLDORDYR | Mirror Channel
Ewe mwarabu wa kankoko
Tuliambiwa huku mtaan eti hzbolha syo hamasi israel isjaribu, ila kisago kilipoanza nkagundua bora hamas kuliko hzbolha
 
View attachment 3239752

Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina.

Israel ikajibu October 26, hawakurusha makombora, walipeleka wanajeshi

OCTOBER 26, 2024 – SIKU AMBAYO IRAN HAWAWEZI KUISAHAU
  • Viwanda vya utengenezaji wa droni vililipuliwa.
  • Viwanda vya makombora ya balistiki viliangamizwa.
  • Radars za kugundua ndege hazikusaidia, zilisambaratishwa.
  • Mfumo wa ulinzi wa anga ulibomolewa kabisa.
  • Ndege za Israel zilipita katikati ya jiji la Tehran kwa dharau huku mifumo ya ulinzi ikihangaika.
  • Ndege zote zilizokwenda zilirejea salama bila mkwaruzo.
  • Askari wanne wa Iran waliuawa.
Huku ni kudhalilishwa kulikopita maelezo, Iran imepigwa na wanawake, inakuwaje mpaka leo hawalipi kisasi?
Sasa kama hii ni kweli ni kipi kinwafanya waisraeli na wamerekani kulalamika kuwa irani inatengeneza mabomu ya nuclear iwapo hiyo mitambo yote imevunjwa kwa kulipuliwa?
 
Ewe mwarabu wa kankoko
Tuliambiwa huku mtaan eti hzbolha syo hamasi israel isjaribu, ila kisago kilipoanza nkagundua bora hamas kuliko hzbolha
Hiii sio chai ni Divai !!!!! Mlokole wawapi ww sio kiteto!!!
 
Mbona Iran siku hizi harushi makombora,?ni ishara ya wazi kuwa alikatwa mkia wake ndio maana siku hizi kakaa kimya
 
Yaani wewe kwa akili zako hizo unaona Iran ni taifa la kuweza kufua dafu mbele ya Israel. Nenda uswali swala ya mwisho ukalale.
 
Back
Top Bottom