Marubani wa kike walifanya shambulio la aibu na uharibifu mkubwa kwenye jamhuri ya kiislam ya Iran, kwanini Iran inasita kulipa kisasi?

Akina madhara kabisa,, lkn Iran Janja Janja sana wakataka Sababu ya Kisheria ndio wakatangaza kufa watu w4 na DAMAGES Seem chache!!! Kutika apo IRAN ikaenda UN kulalamikia kurudi hm ikatangazwa Promis no3 !!!!!
Chai
 
God bless IDF

GOD BLESS ISRAEL
 
Muislam ukiwa vitani! Kifo chako kikisababishwa na Mwanamke- Uendi Peponi🤣🤣Bikra 72 nei
 
Hayo makombora yaliyorushwa na Iran yalikuwa na athari ndogo sana, Ni mtu moja tu alieuawa baada ua kombora kumalizia safari yake Palestina
Mgalatiaa kwenye ubora wake.wee unaona rahaa sana watu wasipo ishi kwa amani
 
Sijui kwanini watu mnashabikia sana vita??
Au kwa sababu ni ya mbali na uhathiriki moja kwa moja??
Ushawahi kuwaza watoto na wazee wanavyohangaika na kufa kwenye vita??
Kama una watoto kawaangalie leo afu imagine unakuta maiti zao Chini ya kifusi Cha mchanga
Wazee wako je??
Acheni mzaha na vita. Tuwaombee Hawa watu
 
Ewe mwarabu wa kankoko
Tuliambiwa huku mtaan eti hzbolha syo hamasi israel isjaribu, ila kisago kilipoanza nkagundua bora hamas kuliko hzbolha
 
Sasa kama hii ni kweli ni kipi kinwafanya waisraeli na wamerekani kulalamika kuwa irani inatengeneza mabomu ya nuclear iwapo hiyo mitambo yote imevunjwa kwa kulipuliwa?
 
Ewe mwarabu wa kankoko
Tuliambiwa huku mtaan eti hzbolha syo hamasi israel isjaribu, ila kisago kilipoanza nkagundua bora hamas kuliko hzbolha
Hiii sio chai ni Divai !!!!! Mlokole wawapi ww sio kiteto!!!
 
Mbona Iran siku hizi harushi makombora,?ni ishara ya wazi kuwa alikatwa mkia wake ndio maana siku hizi kakaa kimya
 
Mbona Iran siku hizi harushi makombora,?ni ishara ya wazi kuwa alikatwa mkia wake ndio maana siku hizi kakaa kimya
Makomboro hatushwi hovyo ... makomboro sio kama mayai ndugu
 
Yaani wewe kwa akili zako hizo unaona Iran ni taifa la kuweza kufua dafu mbele ya Israel. Nenda uswali swala ya mwisho ukalale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…