Marubani wa kike walifanya shambulio la aibu na uharibifu mkubwa kwenye jamhuri ya kiislam ya Iran, kwanini Iran inasita kulipa kisasi?

Show za Iran huwa anamaliza dashboard ya ile military map lakini hapigi hata mbu asiehusika what an accuracy, had raha, sasa mzayuni kazi kwake kipi uzuie kipi uache kipi mabwana zako wahangaike nacho
Kichwa chako hakipo sawa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukiona hivyo ujue madhara ya shambulizi la Israel yalikuwa madogo na ndo maana Iran haiku onekana kupanic baada ya shambulizi.
Siku Israel ikithubutu kuishambulia vinu vya nyukilia au visima vya mafuta ndo utanielewa ninacho kimaanisha.
Hata kwa Hezbollah mlisema hivyo hivyo lakini baada kubutuliwa mkanyamaza kimya!!! Wafuga Midevu na Majini ni watu wa ajabu sana!!
 
Jaribu kumuona daktari mzee🤣🤣🤣
Jibu hoja achana na mleta mada hivi ndivyo duniani super pawa wetu anavyo

1. Nyuklia weapons - Iran hajaweka wazi anazo au hana lakini kwa kauli tuu unajua anazo maana mtu kusema anaweza kuvika nuklia war heads ndani ya saa 24 huyo tilia shaka
2. Ballistic Missiles - Iran ndio nyumbani kuna viwanda zaidi ya mia
3. Drones - Iran saivi alishatoka kwenye mambo ya kukopi saivi wengine ndio wanamkopi mfano mdogo Shaheed
4.Jets - Anazo pia saivi anashirikiana na Russia
4.Jeshi - Iran kuna majeshi idadi Zaid ya milioni kujumlisha na reserve
5.Vikundi vya kivita- Iran anavyo mpaka vingine ni serkali mfano Al houth
5. Meli Irani anazo pia na submarine zenye quality ileile kama ya Us
6.Boats Iran kazindua boats zinazopiga drones pia chini ya maji bila kuibuka
7. ICBM intercontinental hizo ndio zinabeba nyuklia warheads Iran anazo na kamodify zipo zinazobeba mabomu uzito mdogo zaidi ya 80 na kujifungua zikifikia target moja yanakuwa 80

8.satelites Iran nae karusha zake mwaka jana mwaka huu bajeti ya ulinzi imeongezeka huenda akarusha zingine
9.Hela Iran kazidiwa na anaongezewa vikwazo lakini kwa mambo yake zinatosha
10. Defence system Iran anazo pure made from Iran pia anachanganya na za Mrusi, mwaka kesho tutashuhudia kwa mara ya kwanza pure made from Iran air defense ya ballistic missiles.
11. Nakadhalika huko ni kwenye technology, intelligence strategy yote hayo yako level standard kubwa kabisa ndio maana vikundi vyake vinawatoa jasho watu wazima kikundi kama Al houth kimemtimua Marekani red sea
 
Nimeshakuambia nenda kamuone daktari mzee huna hoja hapo.🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu. Ingekua ww ndiye umepigwa na mademu alafu wajuba wapo koridoni wanapasha tu kusibiria kiherehere chako waje kukuzika kabisa. Ungethubutu..?
 
Kaswali ukalale huna hoja wewe jihadist.
 
Iran iliachwa uchi, ingelipaje?
Kila kitu kiliharibiwa.

Haiwezi kuthubutu tena kurusha vimondo vyake kwa wayahudi.
 
Iran iliachwa uchi, ingelipaje?
Kila kitu kiliharibiwa.

Haiwezi kuthubutu tena kurusha vimondo vyake kwa wayahudi.
Wajinga kama ninyi nilijua mmeshaakuwa na elim na kuelewa kumbe mna zile arrogances bado ukiambiwa uonyeshe huo uchi utaaonyesha au unataka kutuonyesha uchi wako
 
Wajinga kama ninyi nilijua mmeshaakuwa na elim na kuelewa kumbe mna zile arrogances bado ukiambiwa uonyeshe huo uchi utaaonyesha au unataka kutuonyesha uchi wako
Na wewe hapa ndio umetoa hoja?!
Basi uko vizuri.

Waambie sasa ndugu zako Iran warushe tena vikombora Israel.

Hawawezi hadi mwisho wa dunia.

Mtu amekudharau hadi anatuma marubani wa kike kukushughulikia, ni aibu kubwa.

Ndege 300 ziliranda randa kwenye anga ya muajemi usiku kucha, zikijichagulia pa kupiga.
 
Kwanini unaimgia jamiiforum ukiwa umelewa
 
Na bado. Sasa hivi akijikuna tu Netanyahu atamnyoa madevu ya ayatollah bila maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…