Huwezi kuona kama hutaki kuona. Hivi sasa you must say sorry, you must apologise, kwa kumkomalia Waziri Eng. Mbarawa. Muwapongeze wale mashujaa (siyo wa CHADEMA, ni wale wa kikwelikweli) waliotumia mitumbwi yao kufungua ndege na kuwaokoa abiria.Mbona hamna sehemu wamesema walikaidi ushauri wa waongoza ndege?
CHADEMA walishupaa kwa vile ile ni biashara ya SHIRIMAHuwezi kuona kama hutaki kuona. Hivi sasa you must say sorry, you must apologise, kwa kumkomalia Waziri Eng. Mbarawa. Muwapongeze wale mashujaa (siyo wa CHADEMA, ni wale wa kikwelikweli) waliotumia mitumbwi yao kufungua ndege na kuwaokoa abiria.
Mkuu asante kwa kuweka mambo wazi zaidiFailed to heed warnings from an automatic "pull up" warning alarm system
Marubani walishindwa kuzingatia onyo lililotolewa na kifaa cha akili bandia kilichopo katika ndege ambacho kilikuwa kinatoa mlio wenye sauti ikisisitiza usitue/ rudi angani sekunde chache kabla ya ajali.
Ndege zote zilizoundwa miaka ya sasa na hata zile za zamani zimefanyiwa up grade na kufungwa mambo/kifaa chenye akili bandia ya kuweza kutoa onyo lenye sauti ya binadamu kuwapa onyo marubani pale ndege inapokabiliwa na hatari ili marubani waweze kuepuka ajali au changamoto nyingine inayotekea wakati wakiwa kati mruko iwe angani na hata ardhini.
Na mawasiliano yote yanayofanyika ya marubani pia yale ya kifaa cha akili bandia AI hurekodiwa ktk black box / sanduku jeusi ambalo hutumika na wachunguzi wa ajali na usalama wa anga kubaini kilichotoea au kosakosa iliyotokea .
Sanduku hilo jeusi ni kifaa kigumu sisichoweza kuharibika kwa dhahama au dhoruba yoyote iwe moto, ndege kuteketea, kupondeka au kuzama majini na ndicho hutumiwa kusaidia uchunguzi.
Mfano wa kifaa cha akili bandia ndani ya ndege aina ya Boeing 747 - 400 unavyowasiliana na rubani pamoja na first officer. Mtambo huo wa akili bandia upo ktk kila aina ya ndege kwa ajili ya usalama .
MKUU MSOME MCHANGIAJI HUYU NA AMEWEKA NA VIDEO CLIPSijui tatizo la lugha au vipi? Heading Yako imepotosha kilichoandikwa humo. Waongoza ndege ndio wakina nani?
Ndiyo hata mimi nimepatafuta lakini sioni! Naona tu annautimatic pull up!Mbona hamna sehemu wamesema walikaidi ushauri wa waongoza ndege?
In the second preliminary report to be published since the accident, the transport ministry said Thursday that an enhanced ground proximity warning system (EGPWS) issued three alerts "about the excessively high descent rate".Ndiyo hata mimi nimepatafuta lakini sioni! Naona tu annautimatic pull up!
Nimekuelewa toka mwanzo ila heading ingesema KIFAA Cha kuongoza ndege..... Ila ulivyoandika ni kana kwamba operators wa control center walitoa warning alafu rubani wakapuuza.MKUU MSOME MCHANGIAJI HUYU NA AMEWEKA NA VIDEO CLIP
Kama waliambiwa na akili bandia bora maana tunafundishwa za kuambiwa na fake intelligence changanya na zakoMfano wa kifaa cha akili bandia ndani ya ndege
Sasa, walipochanganya na za kwao, kilichotokea, ndiyo kile kilichotokea! Kuua watu!Kama waliambiwa na akili bandia bora maana tunafundishwa za kuambiwa na fake intelligence changanya na zako
Huwezi kuona kama hutaki kuona. Hivi sasa you must say sorry, you must apologise, kwa kumkomalia Waziri Eng. Mbarawa. Muwapongeze wale mashujaa (siyo wa CHADEMA, ni wale wa kikwelikweli) waliotumia mitumbwi yao kufungua ndege na kuwaokoa abiria.
Mkuu, hakuna sehemu wamesema Control hTower waliwaonya/waelekeza marubani wakapuuza!Huwezi kuona kama hutaki kuona. Hivi sasa you must say sorry, you must apologise, kwa kumkomalia Waziri Eng. Mbarawa. Muwapongeze wale mashujaa (siyo wa CHADEMA, ni wale wa kikwelikweli) waliotumia mitumbwi yao kufungua ndege na kuwaokoa abiria.