Marubani wa ndege ya shirika la Precision kumbe walikaidi ushauri wa waongoza ndege wakaishia kupata ajali?

Mkuu, hakuna sehemu wamesema Control hTower waliwaonya/waelekeza marubani wakapuuza!

Na zaidi, wamesema, cabin crew ndo wamefungua mlango na kuwaruhusu abiria kutoka, mitumbwi ilisaidia kuwatoa abiria majini!
Sio Majaliwa tena
 
Nimekuelewa toka mwanzo ila heading ingesema KIFAA Cha kuongoza ndege..... Ila ulivyoandika ni kana kwamba operators wa control center walitoa warning alafu rubani wakapuuza.
Hicho kifaa ni auto kinasimama badla ya operator na kinakupa ilani ya onyo kwa kutumia sauti ya binadamu
 
Mkuu, hakuna sehemu wamesema Control hTower waliwaonya/waelekeza marubani wakapuuza!

Na zaidi, wamesema, cabin crew ndo wamefungua mlango na kuwaruhusu abiria kutoka, mitumbwi ilisaidia kuwatoa abiria majini!
 
Sijui unajaribu kusisitiza nini ILA ni kuwa, sio control tower waliosema hayo, heading ina mislead!

Kwenye ndege ndogo, kuna wakati utaisikia hiyo sauti wakati ndege inashuka, mazingira ya landing field yanakuwa kati ya milima, miamba n.k Proximity inasoma, na watu wanatua kila leo!
 
Mimi sijui unapata tabu wapi?
 
Back
Top Bottom