Sijui unajaribu kusisitiza nini ILA ni kuwa, sio control tower waliosema hayo, heading ina mislead!
Kwenye ndege ndogo, kuna wakati utaisikia hiyo sauti wakati ndege inashuka, mazingira ya landing field yanakuwa kati ya milima, miamba n.k Proximity inasoma, na watu wanatua kila leo!