pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Je, sheria yenyewe bado inatiliwa maanani au ilikuwa ni fixi tu za wauza sura? Tanzania bans witchdoctors in attempt to end albino killings - The Guardian Habari hii iliangaziwa sana mwaka wa 2015, hii ni baada ya mauwaji ya kikatili ya Albino. Tanzania bans witchdoctors to deter albino killings - REUTERS GoT ilipiga marufuku wachawi na waganga wa kienyeji ili kujaribu kusitisha ukatili huo. Mikakati hiyo ya serikali bado inaendelea wakuu?