Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

Ufafanuzi murua kabisa,
Suala la tarimo jeshi la Russia halihusiki
 
Kuna Watanzania wengi wako Jeshi la uingereza na wengine wako uko nato sasa hivi.Ina maana yeye hajuhi kwamba uingereza kwa mgongo wa nchi za madola ni haki kwao kuwaingiza kwene jeshi lao
 
Aisee dogo alikua na speed sana labda kashafika alipokua anawai.
Mwaka 2020 kutoka TZ.ushaenda Urusi ushafungwa,ushapelekwa vitani ushaua na kuuliwa mwaka 2023 Rip komando Nemes
 
Mimi mwenyewe natamani kuingia Wagner. Nasikia hawana mambo ya connection kama kwetu. Ni wewe na nafsi yako tu
 
Mheshimiwa waziri wa Ulinzi angetoa tu salamu za pole ingetosha.
 
Yaani mtu anapata ajira ya uhakika ajikimboe kimaisha halafu aiache nitakuwa mjinga! Mbona ninyi hamuajiri mnapeana wenyewe Kwa wenyewe.
Kwa taarifa yako wako wengi sana kwenye hii sekta hutaamini!

Asante anyway!
 
Huyo hakujiunga kwa hiyari yake bali kwa kulazimishwa, Serikali ilitakiwa kutoa tamko kuilaani Urusi kwa inachokifanya hasa kwa wageni maana ni kinyume na haki za binadamu.
Hajalazimisshwa i'la alishauriwa na kushawishiwa vyema Kwamba I'll asiendelee kutumikia kifungo ajiunge na Wagner kimkataba kwa miezi sita akamaliza hiyo awe free
 
Wakiomba mnaweka vikwazo mara wafupi hawatakiwi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…