Kaka japo ajali zinaongezeka mwishoni mwa mwaka, lakini hata miezi mingine pia zinatokea, kumbuka hata wakifa watu watano ni hasara kubwa, chukulia ni mkeo au mzazi wako, kutembea usiku kunawapa uhakika wa kutokutana na polisi wa barabarani, hivyo kuendesha apendavyo, pigeni marufuku mtaona ajali zitakavyopungua, kwa mfano huku Tanzania kipindi hiki cha mwisho wa mwaka, ni ajali moja tu ya bus iliyotokea na kupoteza maisha ya watu saba, ukilinganisha na huko Kenya, zaidi ya watu 300 wamekufa ndani ya siku 40Huyu waziri wa usafiri angepiga marufuku usafiri wa usiku kwa mabasi mwezi huu wa Desemba tungemuelewa. Sasa hivi ni too late na hii hujuma tu kwa biashara. Hao Matatu owners Association naamini watafika mahakamani kutupilia mbali agizo la waziri Macharia.
Msimu huu wa krisimasi ajali huwa nyingi sana Kenya ukilinganisha na miezi mingine. Kaunti tafuti zinajaribu ziwezavyo kua na uchumi wa 24/7. Hili agizo la waziri Macharia ni la muda tu.Kaka japo ajali zinaongezeka mwishoni mwa mwaka, lakini hata miezi mingine pia zinatokea, kumbuka hata wakifa watu watano ni hasara kubwa, chukulia ni mkeo au mzazi wako, kutembea usiku kunawapa uhakika wa kutokutana na polisi wa barabarani, hivyo kuendesha apendavyo, pigeni marufuku mtaona ajali zitakavyopungua, kwa mfano huku Tanzania kipindi hiki cha mwisho wa mwaka, ni ajali moja tu ya bus iliyotokea na kupoteza maisha ya watu saba, ukilinganisha
Hivi unadhani kwanini tuliamua kupiga marifuku safari za usiku?, sababu ni hiyo hiyo ya ajali kuwa nyingi, haina uhusiano wowote wa uchumi wa 24/7, kaka kama wewe ni dereva utakubaliana na ukweli kwamba usiku ni ngumu sana kwa sababu vision na taa zinazokuja opposite zinakuchanganya, malori yanayoharibika njiani bila kuwekwa alama.Msimu huu wa krisimasi ajali huwa nyingi sana Kenya ukilinganisha na miezi mingine. Kaunti tafuti zinajaribu ziwezavyo kua na uchumi wa 24/7. Hili agizo la waziri Macharia ni la muda tu.