mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
CC mshana jr & MziziMkavuWadau kuna dada yangu, ni mwislam kwa dini,mara nyingi amekua akiumwa kichwaa sana na wakati mwingne anaongEa yakimpanda lakin hua hajitambua akiwa nomal ,je haya madudu kuna watu wanaweza kuyaondoaa mana yanamtesa sana wakati mwingne hali kabsa
Sasa mkuu watu kwa wasio wakristo unajua huwa wanafanyaje ili kuondoa hayo majini?Only in Jesus Christ Name.
Believe it or Not.
It is it.
Jina na Yesu linaondoa Majini kwa mtu yeyote, awe Mhindu, Mbudha au Mpagani.Sasa mkuu watu kwa wasio wakristo unajua huwa wanafanyaje ili kuondoa hayo majini?
Kuna ushahidi gani wa mtu kutolewa majini kwa jina la Yesu? hebu nipe huo ushahidi.Jina na Yesu linaondoa Majini kwa mtu yeyote, awe Mhindu, Mbudha au Mpagani.
Linafanya kazi kwa yeyote na popote.
Hata Sheick Yahya Hussein ali kiri hivyo enzi ya uhai wake.
Adui anayeweza kumshinda Shetani na watenda kazi wake (majini) ni Yesu pekee.
Ushahidi wa kihistoria unathibitisha kuwa mtu wa kwanza kufukuza majini kwa kauli tu, na kuyaamuru kwa kwenda, alikuwa Yesu Kristo wa Nazareti.
Majini pia yamethibitisha kuliogopa hilo jina, hayakuwahi kufanya upinzani na kushinda mbele yake.
Ni uamuzi wako sasa, ubaki na majini yako au uliite jina la Yesu liyaondoe.
Hakuna ushahidi mwingine wa wazi uliotolewa hadharani ulioweza kufanikisha zoezi la kufukuza majini kwa binadamu hadi hii leo.
nusu uko sawa nusu umekosea...Jina na Yesu linaondoa Majini kwa mtu yeyote, awe Mhindu, Mbudha au Mpagani.
Linafanya kazi kwa yeyote na popote.
Hata Sheick Yahya Hussein ali kiri hivyo enzi ya uhai wake.
Adui anayeweza kumshinda Shetani na watenda kazi wake (majini) ni Yesu pekee.
Ushahidi wa kihistoria unathibitisha kuwa mtu wa kwanza kufukuza majini kwa kauli tu, na kuyaamuru kwa kwenda, alikuwa Yesu Kristo wa Nazareti.
Majini pia yamethibitisha kuliogopa hilo jina, hayakuwahi kufanya upinzani na kushinda mbele yake.
Ni uamuzi wako sasa, ubaki na majini yako au uliite jina la Yesu liyaondoe.
Hakuna ushahidi mwingine wa wazi uliotolewa hadharani ulioweza kufanikisha zoezi la kufukuza majini kwa binadamu hadi hii leo.
Inawezekana kwakuwa sijamalizia jibu langu na haswa kwa kuto kusemanusu uko sawa nusu umekosea...
Kwa uelewa wako, Je unaamini Jini linao uwezo wa kukaa ndani ya mtu ?Kuna ushahidi gani wa mtu kutolewa majini kwa jina la Yesu? hebu nipe huo ushahidi.
Labda nikatishe kuwa mie sina tatizo na dhana ya majini,hivyo ungenijibu tu.Kwa uelewa wako, Je unaamini Jini linao uwezo wa kukaa ndani ya mtu ?
Kama linaweza, je linapomtoka mtu unaweza kuthibisha kuwa ni kweli limemtoka ?
Ukinijibu hayo maswali hayo nitakujibu swali lako, maana kuna watu hawaamini kabisa dhana ya Majini hivyo hata wanacho kiuliza hawakifahamu.
Unaweza ukaielewa dhana ya majini lakini usiyaelewe maswali niliyokuuliza.Labda nikatishe kuwa mie sina tatizo na dhana ya majini,hivyo ungenijibu tu.
Ok isiwetabu.Unaweza ukaielewa dhana ya majini lakini usiyaelewe maswali niliyokuuliza.
Jibu maswali yote mawili ili nithibitishe uelewa wako.
Sawa.Ok isiwetabu.
1.Ndiyo naamini kuwa jini anaweza kukaa ndani ya mtu.
2.Siwezi kuthibitisha.
Mkuu nitafute mimi nipate kuyaondoa hayo mashetani yake.Wadau kuna dada yangu, ni mwislam kwa dini,mara nyingi amekua akiumwa kichwaa sana na wakati mwingne anaongEa yakimpanda lakin hua hajitambua akiwa nomal ,je haya madudu kuna watu wanaweza kuyaondoaa mana yanamtesa sana wakati mwingne hali kabsa