Jina na Yesu linaondoa Majini kwa mtu yeyote, awe Mhindu, Mbudha au Mpagani.
Linafanya kazi kwa yeyote na popote.
Hata Sheick Yahya Hussein ali kiri hivyo enzi ya uhai wake.
Adui anayeweza kumshinda Shetani na watenda kazi wake (majini) ni Yesu pekee.
Ushahidi wa kihistoria unathibitisha kuwa mtu wa kwanza kufukuza majini kwa kauli tu, na kuyaamuru kwa kwenda, alikuwa Yesu Kristo wa Nazareti.
Majini pia yamethibitisha kuliogopa hilo jina, hayakuwahi kufanya upinzani na kushinda mbele yake.
Ni uamuzi wako sasa, ubaki na majini yako au uliite jina la Yesu liyaondoe.
Hakuna ushahidi mwingine wa wazi uliotolewa hadharani ulioweza kufanikisha zoezi la kufukuza majini kwa binadamu hadi hii leo.