Maruhani au majini wanatoaje kw mwili mwa mtu?

Naona Leo tunaloga wote mkuu

Turudi kwenye mada, baada ya hayo nini kinatokea?
Majini hayapatani na hivyo vitu, mwanzoni yatafanya ukorofi lakini kadiri anavyoendelea kutumia yatahama yenyewe na kutokomea kusikojulikana....
Mvua imelowesha vilinge vingi na maji yamesomba vitendea kazi vingi... Wengi wako off leo
 
Nimekusoma mkuu, asante
 
Hapa jirani kuna nyumba huwa wanafanya ibada wakristo ni kama kikanisa fulani hivi,basi usiku huu sijui wanamtoa nani mapepo ni kelele mtindo mmoja kuanzia waombaji na huyo mtolewa mapepo ndiyo usiseme.
 
Back
Top Bottom