Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Majini hayapatani na hivyo vitu, mwanzoni yatafanya ukorofi lakini kadiri anavyoendelea kutumia yatahama yenyewe na kutokomea kusikojulikana....Naona Leo tunaloga wote mkuu
Turudi kwenye mada, baada ya hayo nini kinatokea?
Mvua imelowesha vilinge vingi na maji yamesomba vitendea kazi vingi... Wengi wako off leo