Marumo Gallants (Bahlabani ba Ntwa) fans tukutane hapa

Bahlabane na ntwa inamanisha nini!?
 
OOhoo

Mashujaa wa shing'waa

Naam marumo siyo mpira tu tunajua mpka pisi za MARUMO ni hatari misambwanda ipo
Ukinunua jezi ya MARUMO na Lishangazi limoja unapewa
BAHLABANE BA NTWA
 
NAONA BAADA YA KUFA KIUME MMEANZA KUWASHADADIA WANAUME ...
MADUNDUKA ACHENI UCHAWA PAMBANENI KUIJENGA TIMU YENU.
 
Ha
Kwa hakika nitakuwa MTU ambaye ntaendesha kampeni ya kupiga ban la mwaka labda moderator awe kama Yule wa Jana aliyenipiga ban Kwa mahaba yangu binafsi
 
Ha

Kwa hakika nitakuwa MTU ambaye ntaendesha kampeni ya kupiga ban la mwaka labda moderator awe kama Yule wa Jana aliyenipiga ban Kwa mahaba yangu binafsi

Karibu South Africa
BAHLABANE BA NTWA
 
Yanga ni timu kubwa sana, naona mashabiki wa Simba mnakebehi na dharau badala mjifunze, kufika nusu fainali si kazi ndogo
 
Daaaaah!Maskini mweeeeeh.
Hivi mnajua mpira au mna ropoka tu.
Kwa upande wa Takwimu ni hizo hapo chini hebu angalia zinavyo onesha,ni MBINGU na BAHARI sasa hapo.Msikurupuke kuleta NYUZI bila kuzifanyia uchunguzi.

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Yanga ni timu kubwa sana, naona mashabiki wa Simba mnakebehi na dharau badala mjifunze, kufika nusu fainali si kazi ndogo

Nimefika fainal kombe la shirikisho

BAHLABANE BA NTWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…