Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea UTUMBO UTUMBO tu sasa kwa kutumia ubongo wako yote mitatu unakumbuka KIKOSI Cha Chelsea kilicho beba Ubingwa kilikuwaje.Chelsea alichukua uefa 2012 kwenye ligi akiwa nafasi ya 13 huko Epl mbele ya Bayern aliyekuwa anaongoza ligi Bundesliga
BAHLABANE BA NTWA
Sahihi mkuu,ila weka na kitita alicho chukua YANGA kufika hatua ya robo final,plus na hii ya NUSU,kabla ya matuta mngemwambia BABA EASTER na CHAMA kwenye mikwaju ya Penalty wasikose.View attachment 2605989
BAHLABANE BA NTWA
Unaongea UTUMBO UTUMBO tu sasa kwa kutumia ubongo wako yote mitatu unakumbuka KIKOSI Cha Chelsea kilicho beba Ubingwa kilikuwaje.
Sifa za mchezaji mmoja mmoja angalia asilimia kubwa zinaenda kwa nani.
Wala usijali Tar 10 sio muda itafika soonView attachment 2605991
Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
WANANCHIIIIIIIIII
WAFA MAJI HAWAACHI KUTAPATAPA
SASA HIVI WAMEKUWA MACHAWA WA MARUMO GALLANTS
MADUNDUKA ACHENI UCHAWA.
[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji172][emoji172]
MADUNDUKA ACHENI UCHAWA PAMBANENI KUIJENGA TIMU YENU YENYE BOKO,KIBU,SAWADOGO,KAPAMA,ONYANGO[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mlianza Yanga hatafika makundi akafika mkasema hafiki robo akafika mkasema hapo ndo mwisho amepasua yupo nusu fainali,,,,tumewazoea maneno mengiiiiiiii!Nimefika fainal kombe la shirikisho
BAHLABANE BA NTWA
Wacha tuone,unajua kuupambania UZI wako mkuu uende MJINI,Ingekuwa uzuri wa kikosi PSG angekuwa bingwa uefa
Mpira sometimes ni technical na ngekewa tu
Msimu huu mtagombania na kuvaa hadi Jezi za Raibow na hata jinsia mtajibadilishaBahlabani ba Ntwa ba Utopolo [emoji196][emoji196][emoji196]
Utopolo [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Mmeingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mabingwa watarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF Marumo Gallants tunaenda kuwaangamiza hawa Utopolo /Gongowazi/Misukule/Kinyumenyume bao za kutosha.
Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.
View attachment 2605927
View attachment 2605928
View attachment 2605929
NB: Jezi za timu yetu pendwa Marumo Gallants zinanunuliwa kwa wingi, siyo shabiki wa Simba wala Azam wala Yanga wanazigombania jezi zetu za Marumo [emoji572]️[emoji572]️[emoji91][emoji91][emoji91].
Nina asili ya Afrika Kusini kwa upande wa baba.
Marumo diehard fan
Bahlabane ba Ntwa
NB: Sisi Marumo tusipowafunga Utopolo De Mihogo mnipige Ban la mwaka [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Bahlabani ba Ntwa
Mlianza Yanga hatafika makundi akafika mkasema hafiki robo akafika mkasema hapo ndo mwisho amepasua yupo nusu fainali,,,,tumewazoea maneno mengiiiiiiii!
Wacha tuone,unajua kuupambania UZI wako mkuu uende MJINI,
Mlisema Utopolo kwa River's United hatoboi matokeo yake kachinjwa kule kule kwao.Ingependeza mfungue UZI wa YANGA afungwe kwenye mchezo wa FAINALI SHIRIKISHO
Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
Msimu huu mtagombania na kuvaa hadi Jezi za Raibow na hata jinsia mtajibadilisha
A . C . H . E . N . I . U . C . H . A . W . A .Ni swala la muda tu
BAHLABANE BA NTWA