Marumo Gallants hawana mpira wa kutisha saana

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Marumo gallants hawana mpira wa kutisha ila ukiingia kwenye mfumo wao lazima wa kuadhibu.

Na moja ya mfumo wao bora ambao wanatumia ni 5-3-2.

Wanajaza mabeki wengi nyuma halafu wanakuwa wanafanya mashambulizi ya kushtukiza kupitia ma winger wao wenye speed

Naamini kocha wa yanga akienda na mfumo huu wa 3-5-2 atawaweza saana
 
Marumo ni kama ruvu shooting....mtu anaeshika mkia kwenye ligi yao akitufunga ni uzembe
Umeangalia recent form lakini au umeishia kuangalia nafasi ya timu? Inaweza kuwa inakaribia kushuka lakini ikagawa vipigo mpaka ukashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…