kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Marumo gallants hawana mpira wa kutisha ila ukiingia kwenye mfumo wao lazima wa kuadhibu.
Na moja ya mfumo wao bora ambao wanatumia ni 5-3-2.
Wanajaza mabeki wengi nyuma halafu wanakuwa wanafanya mashambulizi ya kushtukiza kupitia ma winger wao wenye speed
Naamini kocha wa yanga akienda na mfumo huu wa 3-5-2 atawaweza saana