Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
... nchi itakombolewaje bila kifaa muhimu cha kazi ambacho ni Katiba ya Wananchi? Wanaofaidi keki hawaitaki; wako tayari kutumia mitutu kuhakikisha haipatikani.Tukiikomboa nchi haya yote yatakua reviewed pamoja na yake mahekalu wa ayojengeana.
Hilo limejionyesha fika.... kiukweli kinachowasukuma wengi kuitafuta hiyo nafasi ya uspika kipaumbele chao sio kuwatumikia wananchi; wala sio kulitumikia taifa; wala hawana nia kivile kuona taifa linasonga mbele; priority #1 kwao ni mshahara, posho, marupurupu na pensheni itokanayo na nafasi ya Spika pamoja na hadhi ya kutoshtakiwa popote.
Hao jamaa vilaza wawili, pamoja na msukuma kugombea uspika, inaonyesha just how low siasa za nchi hii zimefikia.Sawa hatukatai ,ila ndo mwijaku na steve nyerere wachukue fomu kweli.....!!!???.