Marvel Cinematic Universe special thread

I'm glad you ask, because I would like to explain MCU plans to you!!
Vipi Marvel wale character wao wa zamani kama wakina Iron man, captain america, thor,na wengine, ndo hawataonekana tena, au itakuwaje
 
Iwe ina emotions watu wawe serious jokes tushazichoka sasa
Nahisi Ant Man itakuwa iko serious, maana ndio movie inayoenda tupa Main Villain katika hii multverse Saga,

Na sidhan kama marvel wanaweza iaharibu hii movie
 
Vipi Marvel wale character wao wa zamani kama wakina Iron man, captain america, thor,na wengine, ndo hawataonekana tena, au itakuwaje
Kuna uwezekano mkubwa Spiderman 1 Toby maguire atakuwepo kwenye Avangers Secret Wars. Na others past heroes, lakini kama iron man atakuwepo basi atakua variant or other alternate self.

Uwezekano wa kufanya hivyo ni kwakua wanataka Showdown ya Secret War iwe kubwa kuliko Endgame...In term of Financial success and Audience score. But thor lazima awepo
Hahaha Nimeisoma kwa Ultron Voice...
This is what I always wanted, All of me against all of you😅
Hua nashangaa sana kwanini Age of Utron hua wanaibeza.
Nahisi Ant Man itakuwa iko serious, maana ndio movie inayoenda tupa Main Villain katika hii multverse Saga,

Na sidhan kama marvel wanaweza iaharibu hii movie
Lazima iwe serious maana phase 4 yote imekumbana na blacklash toka kwa mashabiki...ndio maana Ant man waliikimbiza phase 5. Kuna series na muvi kadhaa zitakua Scrapped upya maana wameona wakienda na approach ya phase 4 wataloose credibility. Kwa ajili hiyo ndio maana Mwaka huu wameona watoe tu Secret invasion, Loki,Ironheart... Echo inaweza kutengenezwa upya kama ilivyofanywa Armour war, blade, nk.

Tafadhali wasiiguse daredevil nitazimia..ndio project pekee nayoisubiri kutoka marvel
 
Ndio kusema hakuna action movie/series ambayo imeshatoka mpaka sasa? Nikisema action namaanisha kweli action mkono uembee na misheni za maana.
 
Kwenye hii genre nilipenda dead pool zote mbili. Naombeni jina la muvi lenye mkono wa kutosha kama uliomo kwenye deadpool hasa muvi za hivi karibuni
 
Nataka nijue project mpya lakini nimeona Ant Man inatoka February,
Plz muelezee nisije nikaenda kusinzia cinemax
Don't tell me ulikua hujui feb 17 Ant man inatoka.
May inatoka GOTG na July Captain Marvel. Series ni What if, secret invasion,loki na Ironheart..sijajua kama Echo itatoka mwaka huu
 
Hii ni series vipi kafanya vitu gani humo, yani inaelezea nini
Alikua kundi la Mafia, akaenda jela for 25 years alivyorudi akakuta utawala umebadilika wakamtaka asikae hapo Newyork aende Tulsa, ni kama vile mtu akutoe Dar akakutupe Katavi huko, alimind sana ila akawa mpole akaenda,
Basi huko akaenda kutengeneza empire yake, matukio mengi yanatokea, ndio maana ya jina la Tulsa King.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…