Marvel Cinematic Universe special thread

I’m getting old nisaidieni aisee, sijaangalia Movies mara ya mwisho kuangalia ni moja sijui mbili zile Hallmark Movies za Christmas December kuingia Jan[emoji856]
 
Njoo kwangu tuangalie wote [emoji3]
Sometimes kuangalia movies kwa group kuna raha yake kuliko kujifungia peke yako ni rahisi kupata uvivu.
 
Hii kweli Ntatafuta wakat, Labda weekend maana najua si Kuvuka na Sea Taxi tu.

Najua kuna mtu humu anatamani angeambiwa yeye
 
Umetisha sanaaaa,
Venom 1 ilinifurahisha sana ila 2 hapana sijui labda kwenye muendelezo,

Eternals nikikumbuka nilivyokua excited kuiona halafu nikakutana na kitu kizito! hadi machozi yalinilenga 🥲[emoji2960]

Morbius sijaikatia tamaa nahisi 2 itakua bomba zaidi,

Can you believe movies za Fantastic Four sijaziona ila katuni zake tu [emoji134]

Hivi Logan hua anacheka kweli [emoji848] ila namkubali sana

Woooote hao wanakuja kufunikwa na THOR, jamani nampenda Thor bila sababu hadi shemeji yenu anajua [emoji851] ajabu ni kua nampenda Chris akiwa Thor na sio akiwa sehemu zingine [emoji1787]
Mie nawakubali Stark, Spider man na Ant man
 
[emoji28]
 
Dc bado sana. Kwa marvel
Yaani mpaka najuta kuchoma bando langu kuwafatilia[emoji38][emoji38]
The Batman 2022 na Black Adam zimenipa funzo. walibahatisha Aquaman, ila Wonder woman nayo wakaboronga. Suicide squad sijawahi kuipenda, Justice League nayo naiona ya kawaida sana nikicompare na Avengers. Sijui nilipata wapi moyo wa kuwafatilia hawa jamaa[emoji38][emoji38] Lakini kwenye series nasikia Sandman 2022 wamefanya poa. Ila hawa jamaa nawahama nimeshachoma MB nyingi. Muvi zao nyingi zinachefua[emoji2961][emoji2961] Ngoja niingie huku Marvel series ya Hawkeye ilinikosha pia, Moon Knight sijaiendelezea
 
Tukiacha ushabiki black Adam ni bonge moja la movie aisee
 
Dc universe wale jamaa walikuwa poa sana zamani.

Kipindi cha Batman za Christian Bale.

Hata ile the watchmen walitisha sana. Baada ya hapo sasa doooh.
 
Tunatofautiana aisee
Kwenye ile muvi Black Adam alikuwa na uwezo mkubwa sana ukilinganisha na wenzake hivyo naona imekuwa ngumu kutengeneza action za maana. Kitu alichokuwa anafanya Black Adam sanasana ilikuwa ni kuwapeleka watu angani na kuwaachia wadondoke chini. Action zake zijazipenda sana. Halafu yule jamaa ambaye alikuwa ana uwezo wa kuwa mkubwa yaani giant zile power binafsi sijazipenda[emoji38][emoji38]
 
Dc wanakosa visionary mmoja au wawili, writers wazuri etc.

WB wanataka mafanikio ya haraka haraka mpaka wanaiga kila kitu wanachofanya kina fergie, bila kujua ya kwamba jamaa walianza mdogo mdogo mpaka kupata credibility.

Kwenye casting ya actors wanawapatia sana eg kwenye black adam kina hawkman, dr. Fate, cyclone, na yule atom.

Saa hivi hata animation movies/series, mcu wanaipiga parefu sana dceu, wakati huko dc/dceu ndio ilikuwa inaongoza.

Being a DC & DCEU die-hard fan, breaks my heart saying this, ila MCU wamepatia sana, na wanastahili pongezi.
 
Tunatofautiana aisee
Kwenye ile muvi Black Adam alikuwa na uwezo mkubwa sana ukilinganisha na wenzake hivyo naona imekuwa ngumu kutengeneza action za maana. Kitu alichokuwa anafanya Black Adam sanasana ilikuwa ni kuwapeleka watu angani na kuwaachia wadondoke chini. Action zake zijazipenda sana. Halafu yule jamaa ambaye alikuwa ana uwezo wa kuwa mkubwa yaani giant zile power binafsi sijazipenda[emoji38][emoji38]
Huyo jamaa unamsema (anaitwa atom), powers zake hazina utofauti na anti man( au na anti man naye humkubali?)
 
Back
Top Bottom