Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
DC siwafatilii isipokua chache sanaaaaaaHawa jamaa hawajawahi kuniboa kwa sababu muvi zao nimeangalia chache tu
Lakini hawa DC ndio wananiboa sometimes[emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DC siwafatilii isipokua chache sanaaaaaaHawa jamaa hawajawahi kuniboa kwa sababu muvi zao nimeangalia chache tu
Lakini hawa DC ndio wananiboa sometimes[emoji38][emoji38]
Njoo kwangu tuangalie wote [emoji3]I’m getting old nisaidieni aisee, sijaangalia Movies mara ya mwisho kuangalia ni moja sijui mbili zile Hallmark Movies za Christmas December kuingia Jan[emoji856]
Njoo kwangu tuangalie wote [emoji3]
Sometimes kuangalia movies kwa group kuna raha yake kuliko kujifungia peke yako ni rahisi kupata uvivu.
mipango ipiHivi Mnaonaje tukapanga Mipango ya Longterm kuhusu sisi wadau wa Hii thread.
Movie kali sana enzo hizoThe chronicles of Narnia aisee umenikumbusha mbali.
Will Poulter anajua na pia range anayo. Hata kwenye the maze alitisha.
Tumngoje humo tuone.
Mie nawakubali Stark, Spider man na Ant manUmetisha sanaaaa,
Venom 1 ilinifurahisha sana ila 2 hapana sijui labda kwenye muendelezo,
Eternals nikikumbuka nilivyokua excited kuiona halafu nikakutana na kitu kizito! hadi machozi yalinilenga 🥲[emoji2960]
Morbius sijaikatia tamaa nahisi 2 itakua bomba zaidi,
Can you believe movies za Fantastic Four sijaziona ila katuni zake tu [emoji134]
Hivi Logan hua anacheka kweli [emoji848] ila namkubali sana
Woooote hao wanakuja kufunikwa na THOR, jamani nampenda Thor bila sababu hadi shemeji yenu anajua [emoji851] ajabu ni kua nampenda Chris akiwa Thor na sio akiwa sehemu zingine [emoji1787]
[emoji28]Umetisha sanaaaa,

Basi mcheki kwenye were millersKwenye Maze alikua ana attitude basi alikua ananikeraaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Doctor Strange 2022 ilinikosha sana. Nilikuwa napenda vile Scarlet Witch alivyokuwa akiwajambisha kina Strange, aliwasumbua sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dc bado sana. Kwa marvelHawa jamaa hawajawahi kuniboa kwa sababu muvi zao nimeangalia chache tu
Lakini hawa DC ndio wananiboa sometimes[emoji38][emoji38]
Mipango ipiHivi Mnaonaje tukapanga Mipango ya Longterm kuhusu sisi wadau wa Hii thread.
Yaani mpaka najuta kuchoma bando langu kuwafatilia[emoji38][emoji38]Dc bado sana. Kwa marvel
M all earsHivi Mnaonaje tukapanga Mipango ya Longterm kuhusu sisi wadau wa Hii thread.
Tukiacha ushabiki black Adam ni bonge moja la movie aiseeYaani mpaka najuta kuchoma bando langu kuwafatilia[emoji38][emoji38]
The Batman 2022 na Black Adam zimenipa funzo. walibahatisha Aquaman, ila Wonder woman nayo wakaboronga. Suicide squad sijawahi kuipenda, Justice League nayo naiona ya kawaida sana nikicompare na Avengers. Sijui nilipata wapi moyo wa kuwafatilia hawa jamaa[emoji38][emoji38] Lakini kwenye series nasikia Sandman 2022 wamefanya poa. Ila hawa jamaa nawahama nimeshachoma MB nyingi. Muvi zao nyingi zinachefua[emoji2961][emoji2961] Ngoja niingie huku Marvel series ya Hawkeye ilinikosha pia, Moon Knight sijaiendelezea
Dc universe wale jamaa walikuwa poa sana zamani.Yaani mpaka najuta kuchoma bando langu kuwafatilia[emoji38][emoji38]
The Batman 2022 na Black Adam zimenipa funzo. walibahatisha Aquaman, ila Wonder woman nayo wakaboronga. Suicide squad sijawahi kuipenda, Justice League nayo naiona ya kawaida sana nikicompare na Avengers. Sijui nilipata wapi moyo wa kuwafatilia hawa jamaa[emoji38][emoji38] Lakini kwenye series nasikia Sandman 2022 wamefanya poa. Ila hawa jamaa nawahama nimeshachoma MB nyingi. Muvi zao nyingi zinachefua[emoji2961][emoji2961] Ngoja niingie huku Marvel series ya Hawkeye ilinikosha pia, Moon Knight sijaiendelezea
Tunatofautiana aiseeTukiacha ushabiki black Adam ni bonge moja la movie aisee
Dc wanakosa visionary mmoja au wawili, writers wazuri etc.Dc universe wale jamaa walikuwa poa sana zamani.
Kipindi cha Batman za Christian Bale.
Hata ile the watchmen walitisha sana. Baada ya hapo sasa doooh.
Huyo jamaa unamsema (anaitwa atom), powers zake hazina utofauti na anti man( au na anti man naye humkubali?)Tunatofautiana aisee
Kwenye ile muvi Black Adam alikuwa na uwezo mkubwa sana ukilinganisha na wenzake hivyo naona imekuwa ngumu kutengeneza action za maana. Kitu alichokuwa anafanya Black Adam sanasana ilikuwa ni kuwapeleka watu angani na kuwaachia wadondoke chini. Action zake zijazipenda sana. Halafu yule jamaa ambaye alikuwa ana uwezo wa kuwa mkubwa yaani giant zile power binafsi sijazipenda[emoji38][emoji38]