Marvel Cinematic Universe special thread

Dc wanakosa visionary mmoja au wawili, writers wazuri etc.

WB wanataka mafanikio ya haraka haraka mpaka wanaiga kila kitu wanachofanya kina fergie, bila kujua ya kwamba jamaa walianza mdogo mdogo mpaka kupata credibility.

Kwenye casting ya actors wanawapatia sana eg kwenye black adam kina hawkman, dr. Fate, cyclone, na yule atom.

Saa hivi hata animation movies/series, mcu wanaipiga parefu sana dceu, wakati huko dc/dceu ndio ilikuwa inaongoza.

Being a DC & DCEU die-hard fan, breaks my heart saying this, ila MCU wamepatia sana, na wanastahili pongezi.
Ukweli mtupu chief
 
Kwenye Cinematic Event Kubwa Tupange tukutane tukaangalie, kama tatizo ni ID zikibaki anonymous sawa ila kwa [mention]Dream Queen [/mention] yeye kubaki anonymous sijajua hapo [emoji28]
Tatizo tuko mikoa tofauti ila huwa nawish iwe hivyo.
 
Kwenye Cinematic Event Kubwa Tupange tukutane tukaangalie, kama tatizo ni ID zikibaki anonymous sawa ila kwa [mention]Dream Queen [/mention] yeye kubaki anonymous sijajua hapo [emoji28]
Kuhusu id anonymous nadhani hata tukionana id zinabaki anonymous tuu unless mtu awe na software ya face recognition which is super creepy.

So naamini hata tukikutana we safe and our anonymity will stay the same.
 
100% Correct, na kuhusu swala la mkoani nahis tunaweza weka arrangements ya mahali pa kukutana ambayo ni obvious Dar. Sio Mbaya mtu akipanga mwaka mzima kwenye schedule yake ajue tarehe fulan nna jambo fulan.

Sio lazima iwe Mwaka huu, hata Mwakani ila Event ya Avengers nyingine tukutaneni aisee[emoji28]
 
Iangalie kwanza Puss in Boots halafu tutakuja kuichambua.... the Amazing Maurice niliiangalia ilivyoisha nikairudia tena hapo hapo same na Minions,
Can you imagine[emoji38]
Puss in Boots ipo vizuri, nimeipenda story yake Lakini nahisi nilikuwa na over-expectation
 
Wana MCU professor X kimemkuta nini hadi Gus Fring aseme hvyo?
1674411225102.jpg
 
alieniambia niangalie will trent nimeangalia episode 1 iko vizuri, aisee Trent yuko vizuri, huwa nakubali sana mtu ambaye yuko vizuri ktk kazi yake... haijalishi ni kazi gan ila kuwa badass kazin kwako... become the godamn authority

Niko naangalia episode moja moja per day sku hizi
 
Nami niitafute nijione
 
Kwa mpenda muvi wa kweli nilikuwa sure utaipenda tu. Trent ananipa vibes za series ya Scorpion kama ushawahi kuifuatilia.

Pia napenda comedy zao... their humor is so spot on and simply brilliant.

Angalia na Mayor of Kingstown ya Jeremy Renner.
 
Yeah scorpion kina Walter O’brien nilikuwa mlevi wa ile.

Mayor of Kingstown niliishia episode 2 Paramount pale wametengeneza kitu, nikipata mda ntaenda nazo
 
Yap yap kina O'brien. Huwa naitafuta sana niiangalie upya kama hakuna vitu vipya vya maana ila sasa hizo mb zake na usawa huu wa bundle sio poa.

Series nyingine pendwa kwangu na mara moja moja huwa nairudia ni The blacklist.

James Spader aka Raymond Reddington aka Ultron mwenyewe jamaa anajua kwa kweli. Nilimuelewa sana yaani sanaa.

He never crack under pressure... Never.
 
KANG THE CONQUEROR ; You are an interesting man Scott Lang. You have a daughter, you are an avenger. Have i killed you before?

man Kang is cold aisee... poor antman.

Screenshot_20230130-114220.jpg
 
KANG THE CONQUEROR ; You are an interesting man Scott Lang. You have a daughter, you are an avenger. Have i killed you before?

man Kang is cold aisee... poor antman.

View attachment 2500029
Yule variant wake wa kwenye alimwambia Loki Na Sylvie kiwa yeye ndie variant mpole kuliko wengine asubiri akutane na wengine,
Nilivyoona tu hili trailer la Ant man aah nikajua huyu jamaa anaenda kuleta shida kwa avenger
 
[emoji1][emoji1][emoji1] aisee ni kweli nimekumbuka alisema hivyo.
 
Back
Top Bottom