Dc wanakosa visionary mmoja au wawili, writers wazuri etc.
WB wanataka mafanikio ya haraka haraka mpaka wanaiga kila kitu wanachofanya kina fergie, bila kujua ya kwamba jamaa walianza mdogo mdogo mpaka kupata credibility.
Kwenye casting ya actors wanawapatia sana eg kwenye black adam kina hawkman, dr. Fate, cyclone, na yule atom.
Saa hivi hata animation movies/series, mcu wanaipiga parefu sana dceu, wakati huko dc/dceu ndio ilikuwa inaongoza.
Being a DC & DCEU die-hard fan, breaks my heart saying this, ila MCU wamepatia sana, na wanastahili pongezi.