Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Hivi kwann mnasema Black Adam ni mbaya??Yaani mpaka najuta kuchoma bando langu kuwafatilia[emoji38][emoji38]
The Batman 2022 na Black Adam zimenipa funzo. walibahatisha Aquaman, ila Wonder woman nayo wakaboronga. Suicide squad sijawahi kuipenda, Justice League nayo naiona ya kawaida sana nikicompare na Avengers. Sijui nilipata wapi moyo wa kuwafatilia hawa jamaa[emoji38][emoji38] Lakini kwenye series nasikia Sandman 2022 wamefanya poa. Ila hawa jamaa nawahama nimeshachoma MB nyingi. Muvi zao nyingi zinachefua[emoji2961][emoji2961] Ngoja niingie huku Marvel series ya Hawkeye ilinikosha pia, Moon Knight sijaiendelezea
Aisee movie nimeirudia ile na sijaichoka hadi sasa