Marvel Cinematic Universe special thread

Steven Yeun anasemekana amepata nafasi ya uhusika kwenye ‘THUNDERBOLTS’. View attachment 2527958
Kama ni kweli it Will be better coz I like the guy. Nitapenda zaidi ksma atacheza character ya amedius Cho. Lakini je itakuaje hulk, she hulk, Skaar, cho wote wawepo??

Cho sio member wa Thunderbolt bali Illuminati...basi ngoja tusubiri taarifa kamili
 
[mention]Ezio Ezio [/mention] Thank you kwa recommendation ya Will Trent na mbwa wake [emoji16]
 
[mention]Ezio Ezio [/mention] Thank you kwa recommendation ya Will Trent na mbwa wake [emoji16]
Amanda ; we have a problem
Will ; i gree, we need to talk about boundaries

Hapo will anakomaa kumwambia boss wake avue viatu.

Will Trent nainjoi sana, comedy zao so effortless unajikuta ushacheka[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hiyo muvi imepaishwa na muigizaji wake. Ilanhaina kitu chochote humo. Sehemu nzuri ni iliishia pale dogo anataka kuuwawa(flashback) tifauti na hapo ni uchafu tu
 
Nasikia kuna agenda pale marvel ya kuwaweka avengers wote wanawake.

Hii inshu ina ukweli wowote ama ni rumours tu maana mimi nliposkia hivi stimu ya kufatilia MCU imekata ghafla.

Ezio Ezio
War machine
Da'Vinci
Ubumuntu
All female avengers hii kitu inasemekana aliyeanzisha ni BRIE LARSON ( CAPTAIN MARVEL ).

Baada ya ile scene ambayo wanawake waliungana pamoja kumsaidia PETER PARKER ( SPIDERMAN ) kwenye avengers endgame kusifiwa na watu ndio huyu Brie Larson akasema anataka au anatamani kuwe na all female avengers movie.

Binafsi sinamini kama itafanyika hiyo muvi ukizingatia mpaka sasa kuna baadhi wa wanaume wako confirmed kuwa watakuwepo kwenye avengers zijazo tukianza na Sam Wilson ( captain america ) mpya na falcon mpya ( walimtambulisha kwenye series ya falcon and the winter soldier ).

Pia Jonathan Major's Kang ndie atakuwa villain wakati huo huo kuna new characters wanaendelea kutambulishwa kama vile Adam Warlock ( kaigiza Will Poulter )

Pia kuna tetesi MOON KNIGHT na DARE DEVIL, na NAMOR wanaweza kuwepo.

Thunderbolts ikitoka pia tutarajie characters wengine kuwaona ambapo wanaume wengi tu.

Shang Chi nae inasemekana anatakuwepo kwenye avengers so tungoje tuone.

Ila kujibu swali lako ni kwamba kweli tetesi zinazunguka na chanzo na mawazo binafsi ya Brie Larson kutaka all female avengers ila sio kwamba huo ndio msimamo wa mcu.

Maybe m wrong. Tungoje tuone.
 

Cool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…