Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila SONY movie zao nyingi zinakua za hovyo hata hii kraven nimeangalia trailer hata haishawishiKraven the hunter v Rhino in october
Ngoja nisubiri zifike hata ep 4 nianze kucheki.Nishaicheki iko poa
Extraction II
View attachment 2664738
Ile scene ilikuwa ya kibabe sanaHii scene ya fast x pale kwenye mlipuko wa magari ya mafuta, inafaa kabisa kuombea nafasi ya kuwa ghost rider MCU
Maana ule moto kwenye matairi pale umenogesha sana na ile turbo charger pale daah noma sana
Usisahau kuangalia WHAT IF utapata idea nzuri zaidi ya MultiverseDah
Ndio maana story naona siipati kabisa kwenye.
Nimeangalia zote Black Widow, Shang Chi R, Eternals ,Spider-Man: No Way Home , Doctor Strange in the Multiverse of Madness ,Thor Love and Thunder ,Black Panther Wakanda Forever, Ant-Man and the Wasp Quantumania ila naona hazina link up ngoja nianze kucheki hizo series ulizorecommend taratibu.
Kilichonifanya niamue kuangalia movie tu za marvel bila series ni sababu i grew up watching Star war Universe na Star trek Universe na nikawa Marvel nnaangalia movie moja moja last year ndo nikaanza kuangalia kwa mfuatano kufuata release date.
Tatizo linakuja Star War Universe na Star trek Universe wana a lot of movies and series having interconnected storyline with a vast timeline wanatoa almost series 4 kila mwaka. Itabidi nijibalance niangalie taratibu MCU.
Siioni bado gunnverse kuwa success.DCU David corenswet atakuwa superman mpya na Rachel Brosnahan atakuwa lois lane mpya kwenye movie ya Superman:legacy ambayo itakuwa released july,2025 View attachment 2670992
Mwamba Ana kisanga , nhizi back to back flop kuzichomoa sikazi ndogoSiioni bado gunnverse kuwa
So far James gunn namuona ndo director bora wa comic movies kuliko yeyoye, naona anaenda kuifanya DC kuwa bora kuliko marvelSiioni bado gunnverse kuwa success.
man nimekubali hiyo id yako 'anti-monitor'So far James gunn namuona ndo director bora wa comic movies kuliko yeyoye, naona anaenda kuifanya DC kuwa bora kuliko marvel
Shida sio ubora wa director. Shida ilianzisha yeye mwanzoni kabisa kwa kuwagawa mashabiki ndani ya DC hapo unategemea nini? Akaenda mbali zaidi kwa kudharau mashabiki na maoni yao kwa ujumlaSo far James gunn namuona ndo director bora wa comic movies kuliko yeyoye, naona anaenda kuifanya DC kuwa bora kuliko marvel
Naliona hilo ajieandae project zake kufolpShida sio ubora wa director. Shida ilianzisha yeye mwanzoni kabisa kwa kuwagawa mashabiki ndani ya DC hapo unategemea nini? Akaenda mbali zaidi kwa kudharau mashabiki na maoni yao kwa ujumlaView attachment 2672849
Alichimba kaburi mwenyewe ajiandae kujifukia ndani yake.
Walitegemea THE FLASH ingefufua matumaini lakini na yenyew ndo imepotea kabisaNaliona hilo ajieandae project zake kufolp
Na aliipromote sana😁Walitegemea THE FLASH ingefufua matumaini lakini na yenyew ndo imepotea kabisa
Sana mashabiki wa DCU wanalalamikaga movie zao hazifanyiwi promotion kama MCU lakin hii the flash imefanyiwa promotion ya kutoshaNa aliipromote sana[emoji16]