Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 1,319
- 2,334
Wow! naisubili kwa hamu sanakuna movie inakuja mwezi wa july hapo inaitwa oppenheimer atakuwepo humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wow! naisubili kwa hamu sanakuna movie inakuja mwezi wa july hapo inaitwa oppenheimer atakuwepo humo
Tumia hii website lakin haina collection nying ya movie za miaka ya nyuma@warmachine nielekeze namna ya kudownload movie ikiwa na English subtitles basi
www.google.com
zinakuwa ziko na HD safi mkuu![]()
Welcome To Nkiri | Download free Hollywood Movies, Series and Dramas
Download Hollywood and Korean Movies, Series and Dramas for free at nkiri.com. Download all the greatest blockbuster Movies and Dramas at nkiri.com.www.google.com
Iko vzr labda ujaribu ujioneezinakuwa ziko na HD safi mkuu
ndio huwa zina subtitles?Iko vzr labda ujaribu ujionee
Ndio movie na series za humo ukidownload inakuwa tayar ipo na subtitle yakendio huwa zina subtitles?
AMINAHey, nawasalimia wadau katika Movie
Nadhan kuna project nzuri zitakuja mbeleniNimeangalia karibu sinema zote za Marvel na mimi ni shabiki mkubwa wa ulimwengu huu, lakini kwa bahati mbaya Marvel wamepungua sana hivi karibuni.
Thor: Upendo na Radi - Sinema dhaifu sana (vichekesho walivyokuwa wakijaribu kufanya havikuwa vichekesho vya kuchekesha kabisa) Na kwa ujumla, ni kushindwa kabisa.
2 kati ya 10
Eternals - Nilitarajia sana kutoka kwa sinema hii, hadithi, waigizaji, na trailer ilikuwa ya kushangaza. Lakini mwishowe, kati ya 10, ningetoa 3. Kuna mapengo mengi katika hadithi, mabadiliko makubwa sana, hadithi haieleweki na haikuvutia.
Shang-Chi - Tofauti na hizo, ina hadithi nzuri na ya kuvutia zaidi. Kwa ujumla, kutoka sinema za hivi karibuni, ni ya thamani ya kuangalia. 5-6 imara kati ya 10.
Kaka Da'Vinci mzigo Ushatoka au badoSijawahi kuona Trailer nzuri na ya akili nyingi kama Trailer la animation ya Invincible S2. Hadi nimejikuta nimewasamehe kwa kuchelewesha kutoa S2.
Kaitazameni halafu mlete mrejesho
Mkuu kaangalie hio trela ni balaa. Wametumia akili kubwaa sana