mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
wana scrap kwasababu ya uoga. We ingia mtandaoni utaona watu wanalalmika kuhusu 'superhero fatigue'. Watu wameshazoea trope zote za muvi za superheroes na wameanza kuzichoka. Studios are not taking creative risks, they only go with what works.....Shabani kaoneka umeyakanyaga, shabani kaoneka umedandia mtumbwi wa vibwengo. Yaani unathubutu kunikosoa mimi😅
Ngoja kwanza nijisifie.
👉Kwa JF hii naamini hakuna mtu anaweza kushindana nami kuhusu maswala ya Marvel Cinematic au Game if Thrones, kama unabisha nipe mkono tushindane.
Uliza chochote kuhusu Marvel na GOT nitakujibu for pages of explanation
Ipo hivi: moja ya sababu Marvel kushuka ubora ni COVID-19 Maana mwaka 2019 ndio walikua wameplan muvi na series zote za phase 4 zianze kutoka 2022. Bahati mbaya covid-19 ikazuka baadhi ya project zikiwa bado zikiwa kwenye pre production hivyo basi Covid-19 ilipoonza kupungua ikabidi wafanye haraka haraka post production ya muvi na series. Ndio maana baadhi ya project zilishuka ubora wa VFX.
Walikua wanawahi ili kwenda sambamba na timeline ya phase 4. Ndio maana kwa mara ya kwanza muvi za marvel mwaka 2021 zikatoka nne na series 4 wakati toka 2008 zilikua zinatoka 2 tu.
Kwa sababu hiyo ndio maana baadhi ya project zilizotakiwa kutoka mwaka huu kama Echo,Ironheart,Agath harkness, nk zimesogezwa mbele ili ziwe scrapped na kuongezwa ubora.
Nitarudi kueleza sababu ya pili
Baada ya infinty saga kuzalisha pesa nyingi, disney wameona marvel inaweza kua chanzo kikubwa cha pesa, hivo wakajitahidi watoe as many IPs as possible. Hii ikapunguza quality ya muvi, ukiongezea pia wameweka woke agendas ambazo watu wengi huko marekani wanzichukia mfano, feminism..... Pia wametengeneza series nyingi zinazo tie-in na cinema ili disney+ iingize hela kwasababu nayo inafilisika....
Phase 3 ilitumia miaka 3 ila kulikua na project 11, phase 4 imetumia kidogo zaidi ya mwaka 1, ila ina projects 18. Kusema kweli marvel wameishiwa direction ya kwenda, wakitengeneza muvi wakiitest, inachukiwa, hivo wanaiscrap kwaajili ya reshoots na kuirekebisha, ila zinafeli tu....
Phase 4 muvi kali ilikua ni ile ya spiderman no way home, tena ilifanikiwa kwasababu ya nostalgia ya wale waigizaji wa zamani....
Wametoa vitu vingi, wamekosa creative direction, wameanza kutumia material complicated kama multiversal theory, ambazo casual fans hawapendi. Maamuzi ya DC kureboot ni mazuri kwasababu wanajipa second chance, watakua na uwezo wa ku-explore vitu vingi.....