Marvel Cinematic Universe special thread

Shabani kaoneka umeyakanyaga, shabani kaoneka umedandia mtumbwi wa vibwengo. Yaani unathubutu kunikosoa mimi😅
Ngoja kwanza nijisifie.
👉Kwa JF hii naamini hakuna mtu anaweza kushindana nami kuhusu maswala ya Marvel Cinematic au Game if Thrones, kama unabisha nipe mkono tushindane.
Uliza chochote kuhusu Marvel na GOT nitakujibu for pages of explanation

Ipo hivi: moja ya sababu Marvel kushuka ubora ni COVID-19 Maana mwaka 2019 ndio walikua wameplan muvi na series zote za phase 4 zianze kutoka 2022. Bahati mbaya covid-19 ikazuka baadhi ya project zikiwa bado zikiwa kwenye pre production hivyo basi Covid-19 ilipoonza kupungua ikabidi wafanye haraka haraka post production ya muvi na series. Ndio maana baadhi ya project zilishuka ubora wa VFX.
Walikua wanawahi ili kwenda sambamba na timeline ya phase 4. Ndio maana kwa mara ya kwanza muvi za marvel mwaka 2021 zikatoka nne na series 4 wakati toka 2008 zilikua zinatoka 2 tu.

Kwa sababu hiyo ndio maana baadhi ya project zilizotakiwa kutoka mwaka huu kama Echo,Ironheart,Agath harkness, nk zimesogezwa mbele ili ziwe scrapped na kuongezwa ubora.

Nitarudi kueleza sababu ya pili
wana scrap kwasababu ya uoga. We ingia mtandaoni utaona watu wanalalmika kuhusu 'superhero fatigue'. Watu wameshazoea trope zote za muvi za superheroes na wameanza kuzichoka. Studios are not taking creative risks, they only go with what works.....

Baada ya infinty saga kuzalisha pesa nyingi, disney wameona marvel inaweza kua chanzo kikubwa cha pesa, hivo wakajitahidi watoe as many IPs as possible. Hii ikapunguza quality ya muvi, ukiongezea pia wameweka woke agendas ambazo watu wengi huko marekani wanzichukia mfano, feminism..... Pia wametengeneza series nyingi zinazo tie-in na cinema ili disney+ iingize hela kwasababu nayo inafilisika....

Phase 3 ilitumia miaka 3 ila kulikua na project 11, phase 4 imetumia kidogo zaidi ya mwaka 1, ila ina projects 18. Kusema kweli marvel wameishiwa direction ya kwenda, wakitengeneza muvi wakiitest, inachukiwa, hivo wanaiscrap kwaajili ya reshoots na kuirekebisha, ila zinafeli tu....
Phase 4 muvi kali ilikua ni ile ya spiderman no way home, tena ilifanikiwa kwasababu ya nostalgia ya wale waigizaji wa zamani....

Wametoa vitu vingi, wamekosa creative direction, wameanza kutumia material complicated kama multiversal theory, ambazo casual fans hawapendi. Maamuzi ya DC kureboot ni mazuri kwasababu wanajipa second chance, watakua na uwezo wa ku-explore vitu vingi.....
 
Umeelezea vizuri Sana.

“We Didn’t know we needed Avengers. Tukapewa na Tukafurahi sana”

“We didn’t know we needed Avatar, tukapewa ikawa Mind-blowing [emoji2962]”

Formula wanayotakiwa waishi nayo ni hiyo, tushachoka too much CGIs hakuna ile Wow factor tena.
Wanatakiwa walete kitu ambacho hatujui kama tunakiitaji ila tutakipenda badly
 
Glad you asked😅
Ipo hivi....
Natumaini mtakua mmetazaa seriwa ya Agent of Shield, humo kuna bibie anaitwa Daisy Johnson aka Quake na mwingine anaitwa Yo-yo Rodriguez, sitaelezea sana kama mmetazama series mtakua mnajua moto wao.

Sasa basi kwenye comics baada ya Skrulls kuvamia dunia wakajibadirisha kua baadhi ya superhero (Secret Invasion) Nick Fury alikusanya kundi aliloliita Secret Warriors ili kupambana na skrulls ambapo kulikua na members kama Daisy Johnson, Yo-yo, Nick Fury nk.

Wengi tulitamani Daisy aletwe MCU basi nadhani tutegemew kumuona kwenye series ya Secret Invasion, nitafurahia sana kumuona. Lakini pia ningependa kama Ghost Rider awe Robin Reyes wa kwenye Agent of Shield na sio John Blaze aliyechezwa na Nicholas Cage
[Daisy Johnson 👇]
1682766278042.png

Nipo hapa kuona mjadala wa watu kuhusu marvel comics shusheni madini

Mjadala uendelee
Tunajifunza kupitia comments zenu[emoji41][emoji41]
 
Hakuna wizard mwenye time stone, timme stone na all infinity stone zilirudishwa na stevw zilipotoka.

Wewe unasema Kang ni soft, huyu uliyemuona kwenye Ant-Man ni Variant hamfikii hata Victor Timely ambae tutamuona kwenye Loki S2.
Mind you, version ya kang ambayo tutakutana nayo kwenye avengers ni Imortus, Scarlett Centurion na Pharaoh Rama-Tut. Hao ndio versión za kang ambazo ni balaa.
Ambao wameonekana kwenye post credit,daaah kama huyo pharaoh rama hehehehe
 
Umeelezea vizuri Sana.

“We Didn’t know we needed Avengers. Tukapewa na Tukafurahi sana”

“We didn’t know we needed Avatar, tukapewa ikawa Mind-blowing [emoji2962]”

Formula wanayotakiwa waishi nayo ni hiyo, tushachoka too much CGIs hakuna ile Wow factor tena.
Wanatakiwa walete kitu ambacho hatujui kama tunakiitaji ila tutakipenda badly
ndio mkuu.... ndo maana series ya the boys imependwa sana. Imeelezea ma-superhero kwa namna tofauti sana. Ukiangalia muvi nyingi za ma-superhero utaona hii formula;

1. Introduce the hero, labda ni mtu wa kawaida lakini kuna kitu cha ajabu kinamtokea
2. Introduce the villain, ambae ni directly opposite to the hero
3. Hero anampoteza mtu anaempenda au anafeli kwenye kumkabili villain
4. Big action scene ambayo hero anashinda
5. Wrap-up 😅

Lakini the boys, imebadilisha kila kitu. Mkuu nakushauri ukaicheki.....
 
5. Wrap-up [emoji28]

Lakini the boys, imebadilisha kila kitu. Mkuu nakushauri ukaicheki.....

Yeah naijua The boys. Amazon put a real good show
 
Wadau wa Marvel naomba kuuliza. Najua Marvel wana movies and series za kutosha with a lot of characters and interconnected storyline.

Swali langu je naweza nika-base kuwa muangaliaji wa movies MCU tu bila kuangalia series yoyote ya Marvel na nikapata mtiririko mzuri wa story? (Mpaka sasa sijawahi kuangalia series yoyote ya Marvel).

Maana nimeanza kuangalia MCU movies kwa mtiririko last year. Nimeangalia infinity saga movie zote za phase 1,2 na 3 na zilizonivutia zaidi za phase 1 na 2.

Hii multiverse saga nimeona movie zote zilizoachiwa mpaka sasa ila duh mtiririko wa story naona kwa kila movie franchise upo distinct tofauti na infinity saga ambapo almost movie zote story ilikua ina mtiririko mzuri. Ndio maana nikauliza kuna ulazima wa kuangalia series au story itaelewaka kwa kucheki tu movies kama kwenye infinity saga?

NB: Superhero niliyemkubali zaidi ni Captain America na movie franchise niliyoikubali zaidi ni Guardians of the Galaxy.
 
Kuazia phase 4 ni lazima uangalie series pia.
Anza na series ya Wandavision, usipoangalia hii series hutaelewa muvi ya Doctor strange, hutaelewa Captain Marvel ijayo. Usipoangalia loki ndio kabisa unabaki maana hapo ndio martiverse inazaliwa. So jitahidi angalia seriea na muvi kwa mtiririko.
 
Back
Top Bottom