Marvel Cinematic Universe special thread

Hii scene ya fast x pale kwenye mlipuko wa magari ya mafuta, inafaa kabisa kuombea nafasi ya kuwa ghost rider MCU
Maana ule moto kwenye matairi pale umenogesha sana na ile turbo charger pale daah noma sana
Ile scene ilikuwa ya kibabe sana
 
Usisahau kuangalia WHAT IF utapata idea nzuri zaidi ya Multiverse
 
DCU David corenswet atakuwa superman mpya na Rachel Brosnahan atakuwa lois lane mpya kwenye movie ya Superman:legacy ambayo itakuwa released july,2025
 
So far James gunn namuona ndo director bora wa comic movies kuliko yeyoye, naona anaenda kuifanya DC kuwa bora kuliko marvel
Shida sio ubora wa director. Shida ilianzisha yeye mwanzoni kabisa kwa kuwagawa mashabiki ndani ya DC hapo unategemea nini? Akaenda mbali zaidi kwa kudharau mashabiki na maoni yao kwa ujumla

Alichimba kaburi mwenyewe ajiandae kujifukia ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…