Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

hivi mtu mzima kabisa unaangalia movie ya superhero na unapata stimu, jamaa sjui anatoa moto kwenye miguu sjui anapaa🙁🙁
Namimi nawaona watu wapuuzi sana wanaopenda bia na Mpira. Unapataje kiu ya pombe au mpira???
Muvi tunapata vingi vya kujifunza
 
yeah niliiona, nilivyoona jina Miguel nkawa curious nkasema kuwa atakuwa Mexican nn...yeah stereotypes, sema nikawa sahihi ana Irish side pia

Unajua nini alivyosema anaenda Earth 67 nkakumbuka Rick and Morty kama unaiangaliaga it’s one of my favorite kuna Rick C 137 mle kwahiyo hiyo 7 ikankumbusha kule[emoji28]
Ila No way home haina tofauti kabisa na Spiderman into spider verse. Story zinafanana since both they're dealing with Multiverse. Nipo excited na Moon knight series maana huyu jamaa (Marc Spector) anaujinga fulani kuliko hata deadpool

Ricky nd Morty sijaiona
 
Halafu kweli huu uzi umejificha mm mwenyewe sikuuonaga nahis[mention]Da’vinci [/mention] ndio alifanya hiyo reference nkaona huu uzi
Huu uzi ulikuja kufa baada ya Corona ilivyoharibu muvi za 2020.
 
Ila No way home haina tofauti kabisa na Spiderman into spider verse. Story zinafanana since both they're dealing with Multiverse. Nipo excited na Moon knight series maana huyu jamaa (Marc Spector) anaujinga fulani kuliko hata deadpool

Ricky nd Morty sijaiona

Eti kuliko deadpool[emoji28], sema nn MCU sasa hivi tupo phase ya Multiverse ambayo ndio nlkuwa naisubir balaa kwahilo niko na amani sasa

Ndg yangu kaangalie Rick and Morty hata episodes tatu za season 1....ni adult animation.
I think Nimekupatia a new favorite show yako, utanipa mrejesho brother
 
Nimeipenda Hawkeye. Kwa sasa Florence Pugh(Yelena) ndiyo muigizaji wangu bora wa kike. Bonge la talent.
Yelena kaitendea haki sana hii character yake, na ike rafudhi yake basi hadi raha
Ila dalili zinaonyesha ume crush kwake mkuu😅
FB_IMG_16260165900115539.jpg
 
Eti kuliko deadpool[emoji28], sema nn MCU sasa hivi tupo phase ya Multiverse ambayo ndio nlkuwa naisubir balaa kwahilo niko na amani sasa

Ndg yangu kaangalie Rick and Morty hata episodes tatu za season 1....ni adult animation.
I think Nimekupatia a new favorite show yako, utanipa mrejesho brother
Thanks for recommending that bro, kesho nitaicheki nitakupa mrejesho. Nimeona ni genre ya Bkack Comedy, mimi muvi au series yenye black comedy hua napenda sana maana ndio aina ya comedy inayoweza kunichekesha pekee.

Kwa kufuata storyline ya black panther inawezekana huyu bwana akawepo na kama atakuwepo na fantastic 4 wakiwepo basi huko mbele kuna ujio wa kundi fulani very interesting kama unasoma comics utakua unalijua. Ngoja nitaandika uzi kuhusu Black panther one day
FB_IMG_16422443974421905.jpg
 
Nimesikia sikia minongono kuwa Marvel wako kwenye mazungumzo na Ben Affleck kurudi kuwa Daredevil kwenye movie ya DS2. Ni za kweli hizi?
 
Nimesikia sikia minongono kuwa Marvel wako kwenye mazungumzo na Ben Affleck kurudi kuwa Daredevil kwenye movie ya DS2. Ni za kweli hizi?

Affleck sidhan hapana sio kwamba not a great actor, ila Daredevil yake niliipenda when i was young ila siku hizi naona hakuitendea haki Charlie Cox ndio embodiment ya Daredevil

Angalau Collin Farrel alijitahid kuwa Bullseye
 
Hayo ni maneno tu ya watu mkuu, hakuna maana wala umuhimu wa BA kurudi as Daredevil labda kama Charlie Cox asingekua recasted.
Huyu si Namor huyu
Yes, ni Namor
 
Affleck sidhan hapana sio kwamba not a great actor, ila Daredevil yake niliipenda when i was young ila siku hizi naona hakuitendea haki Charlie Cox ndio embodiment ya Daredevil

Angalau Collin Farrel alijitahid kuwa Bullseye
Huwa nadoubt sana uwezo wa kuigiza wa Affleck.
 
Jamaa anajua huwez amin, angalia GONE GIRL
Anatuxo nyingi na Oscar mbili, lakini hamna hata moja ya maana amepata kama actor. Gone Girl ni movie nzuri sana, lakini yule sister naona ndiyo movie nzima. Kuna hii accountant, movie nzuri ila uigizaji wake naona kama bado.

Naona Bale alikuwa Batman mzuri mara nyingi kulinganisha na jamaa. Ila anaonekana kama director yupo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom