Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
hivi mtu mzima kabisa unaangalia movie ya superhero na unapata stimu, jamaa sjui anatoa moto kwenye miguu sjui anapaa🙁🙁
baadhi ya vitu sio kwa kila mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi mtu mzima kabisa unaangalia movie ya superhero na unapata stimu, jamaa sjui anatoa moto kwenye miguu sjui anapaa🙁🙁
ni kwelibaadhi ya vitu sio kwa kila mtu
Namimi nawaona watu wapuuzi sana wanaopenda bia na Mpira. Unapataje kiu ya pombe au mpira???hivi mtu mzima kabisa unaangalia movie ya superhero na unapata stimu, jamaa sjui anatoa moto kwenye miguu sjui anapaa🙁🙁
Nimeuona jana na inabidi niuanze post ya kwanza mpk mwisho
Ila No way home haina tofauti kabisa na Spiderman into spider verse. Story zinafanana since both they're dealing with Multiverse. Nipo excited na Moon knight series maana huyu jamaa (Marc Spector) anaujinga fulani kuliko hata deadpoolyeah niliiona, nilivyoona jina Miguel nkawa curious nkasema kuwa atakuwa Mexican nn...yeah stereotypes, sema nikawa sahihi ana Irish side pia
Unajua nini alivyosema anaenda Earth 67 nkakumbuka Rick and Morty kama unaiangaliaga it’s one of my favorite kuna Rick C 137 mle kwahiyo hiyo 7 ikankumbusha kule[emoji28]
Ila No way home haina tofauti kabisa na Spiderman into spider verse. Story zinafanana since both they're dealing with Multiverse. Nipo excited na Moon knight series maana huyu jamaa (Marc Spector) anaujinga fulani kuliko hata deadpool
Ricky nd Morty sijaiona
Yelena kaitendea haki sana hii character yake, na ike rafudhi yake basi hadi rahaNimeipenda Hawkeye. Kwa sasa Florence Pugh(Yelena) ndiyo muigizaji wangu bora wa kike. Bonge la talent.
Thanks for recommending that bro, kesho nitaicheki nitakupa mrejesho. Nimeona ni genre ya Bkack Comedy, mimi muvi au series yenye black comedy hua napenda sana maana ndio aina ya comedy inayoweza kunichekesha pekee.Eti kuliko deadpool[emoji28], sema nn MCU sasa hivi tupo phase ya Multiverse ambayo ndio nlkuwa naisubir balaa kwahilo niko na amani sasa
Ndg yangu kaangalie Rick and Morty hata episodes tatu za season 1....ni adult animation.
I think Nimekupatia a new favorite show yako, utanipa mrejesho brother
2082324[/ATTACH]
Nimesikia sikia minongono kuwa Marvel wako kwenye mazungumzo na Ben Affleck kurudi kuwa Daredevil kwenye movie ya DS2. Ni za kweli hizi?
Nimesikia sikia minongono kuwa Marvel wako kwenye mazungumzo na Ben Affleck kurudi kuwa Daredevil kwenye movie ya DS2. Ni za kweli hizi?
Hayo ni maneno tu ya watu mkuu, hakuna maana wala umuhimu wa BA kurudi as Daredevil labda kama Charlie Cox asingekua recasted.Affleck sidhan hapana sio kwamba not a great actor, ila Daredevil yake niliipenda when i was young ila siku hizi naona hakuitendea haki Charlie Cox ndio embodiment ya Daredevil
Angalau Collin Farrel alijitahid kuwa Bullseye
Yes, ni NamorHuyu si Namor huyu
Hahaa, hamna mkuu. Mi napendaga talents. Crush wangu kwenye movies ni Shirley Maclaine 😀Yelena kaitendea haki sana hii character yake, na ike rafudhi yake basi hadi raha
Ila dalili zinaonyesha ume crush kwake mkuu😅View attachment 2082322
Huwa nadoubt sana uwezo wa kuigiza wa Affleck.Affleck sidhan hapana sio kwamba not a great actor, ila Daredevil yake niliipenda when i was young ila siku hizi naona hakuitendea haki Charlie Cox ndio embodiment ya Daredevil
Angalau Collin Farrel alijitahid kuwa Bullseye
Huwa nadoubt sana uwezo wa kuigiza wa Affleck.
Sio kuigiza tuu jamaa ni muongozaji mzuri sanaJamaa anajua huwez amin, angalia GONE GIRL
Anatuxo nyingi na Oscar mbili, lakini hamna hata moja ya maana amepata kama actor. Gone Girl ni movie nzuri sana, lakini yule sister naona ndiyo movie nzima. Kuna hii accountant, movie nzuri ila uigizaji wake naona kama bado.Jamaa anajua huwez amin, angalia GONE GIRL
Inaonekana hii ndiyo kazi anaiweza zaidi.Sio kuigiza tuu jamaa ni muongozaji mzuri sana