Marvel Cinematic Universe special thread

As marvel fans..Je nu character gani ungependa kuishuu maisha yake na kwanini?
Hah kuna tom hardy na antman .. their sense of humour na relationship quarrels with their ex-s [emoji28][emoji28]tunaachana lkn bado tunabonga!!
 
Dr. Bruce Banner
-mkimya, hana makuu, ilibaki kidogo a-date na Natasha Romannov, mwanafizikia

Wewe najua umetaka kuwa Banner sababu ya Natasha [emoji28]
Sema huwa nawaza Banner akiwa kwenye kupiga mishe si blood flow inakuwa kubwa na heartbeat zinaongezeka hawez geuka Hulk ndani ya pus*y
Na mambo yakawa sio mambo
 
Lakini kwenye ile hulk ya kitambo sio kama jamaa aliweza kujicontrol kweli?

Ila iyo ndio sababu hawakuweza kudate,maana iyo ishu ya presha pia natasha hakuweza kuwa na familia maana walichinja kizazi.
 
Wewe najua umetaka kuwa Banner sababu ya Natasha [emoji28]
Sema huwa nawaza Banner akiwa kwenye kupiga mishe si blood flow inakuwa kubwa na heartbeat zinaongezeka hawez geuka Hulk ndani ya pus*y
Na mambo yakawa sio mambo
sema unasahau kitu kimoja, hulk kutokea anahitaji bruce awe katika immediate danger or anger. The outcome, i.e blood flow na heartbeat kuongezeka inaweza kuwa sawa, ila process iliyoleta hiyo outcome ni tofauti. yote hiyo inatufanya tucheki chanzo, "Hormones", zinazoleta hasira na furaha ni makundi mawili. Kwa hivyo mkuu, naamini hawezi geuka hulk when they are having sex.
pia mkuu, physics is fun, na sio mbaya kuwa na PhDs kadhaa 😁
 
Lakini kwenye ile hulk ya kitambo sio kama jamaa aliweza kujicontrol kweli?

Ila iyo ndio sababu hawakuweza kudate,maana iyo ishu ya presha pia natasha hakuweza kuwa na familia maana walichinja kizazi
mkuu, mume na mke tayari ni familia, watoto ni nyongeza tu.
Pia, tuseme kizazi cha natasha kingekuwepo, sidhani kama bruce angekubali kuwa na watoto, kwakua bruce ni mwanasayansi, kwa hivyo kupitia sayansi, inatuambia bruce ni mutant (dna yake ni fully mutated na compatible with the gamma particles) 100%, je kitatokea nini pale nusu dna yake ikiunganishwa na nusu ya natasha? itakubali muunganiko huo? hiyo mutation itakuwa ya faida au hasara kwa huyo dogo? Unknowns ni nyingi(well atleast kwangu).

Kwa hivyo mkuu, naamini scenario yetu ya wawili hao ku-date ingetokea, na natasha angekuwa fully functioning reproductive sys, nature ya kazi yao(they are full time avengers), naamini option ya watoto wasingeichukua
 
pia mkuu, physics is fun, na sio mbaya kuwa na PhDs kadhaa [emoji16]

Sema vilivyo kichwan kwake ndio deal maana hizo PhDs dah ni raha sana kuwa super smart unaishi ulimwengu fulan hivi
 
Kwa hivyo mkuu, naamini scenario yetu ya wawili hao ku-date ingetokea, na natasha angekuwa fully functioning reproductive sys, nature ya kazi yao(they are full time avengers), naamini option ya watoto wasingeichukua

Nilitaka kusema mbona Clint Barton ana familia ila nme realise kwamba Hawkeye mke wake ni housewife apparently ila hao wawili wasingeweza maana wote ni kazi kazi

PS mtu angekuwa captain angeishi na Peggy ile life time yao yote hivi wale si walikuwa na watoto kwenye comics
 
Mm kuna kitu Sija kielewa tangu niangalie izi movie za sci fi asa marvel yule demu kwny avenger endgame ambaye alimpiga thanorth mbk akamwambia mpambe wake aluhusu ship yao itowe makombola mbn anaguvu vile alizipata wapi Pia namuona kwny trailer ya doctor stranger into metarvese sijui nimeandika sawa
 
Gorge wip ww wampenda Nn favorite superhero kwny marvel unamuhusudu unatamani uwe kama yy
 
Nilitaka kusema mbona Clint Barton ana familia ila nme realise kwamba Hawkeye mke wake ni housewife apparently ila hao wawili wasingeweza maana wote ni kazi kazi

PS mtu angekuwa captain angeishi na Peggy ile life time yao yote hivi wale si walikuwa na watoto kwenye comics
Umenotice hilo mkuu, the funny/interesting thing ni kwamba clint na mkewe wote walikuwa agents of S.H.I.E.L.D (mke wa clint is/was Agent 19), ila kwa ustawi bora wa familia, manzi akastaafu na kuwa housewife.

Hata katika current continuity ya MCU, bado wanaweza wakawa na watoto. Mwisho wa EndGame, steve aliporudisha ile tessaract, hakurudi in 2010s timeline, alibaki kule, then akaenda have ile dance aliyom-promise peggy. baadae tunaona anaulizwa na yule mwana black "if it was worth it?", akajibu kuwa alichukuwa ushauri wa ironman akaenda "have a a dance with peggy and full life (seeing how he aged)". So mkuu unless waliamua kuwa childless au peggy alikuwa na issues au super soldier serum ilimzuia steve kuwa na uwezo wa kuzalisha viable sperms, then inawezekana wana watoto in this timeline, marvel watatu-surprise mbele ya safari.
 
Mm kuna kitu Sija kielewa tangu niangalie izi movie za sci fi asa marvel yule demu kwny avenger endgame ambaye alimpiga thanorth mbk akamwambia mpambe wake aluhusu ship yao itowe makombola mbn anaguvu vile alizipata wapi Pia namuona kwny trailer ya doctor stranger into metarvese sijui nimeandika sawa
Kiumbe yeyote anayebeba au miliki infinity stone anakuwa na nguvu hata scarlet witch unayemzungumzia Wanda maxmoff power yake inatokana na infinity stone ( mind stone) angalia season ya Wanda and vision for more reference

Mwengine carol Denver / captain marvel power yake inatokana na infinity stone

That's why alikuwa na nguvu hata thanos ambaye ni eternal alishangaa
 
Umenotice hilo mkuu, the funny/interesting thing ni kwamba clint na mkewe wote walikuwa agents of S.H.I.E.L.D (mke wa clint is/was Agent 19), ila kwa ustawi bora wa familia, manzi akastaafu na kuwa housewife.

Hata katika current continuity ya MCU, bado wanaweza wakawa na watoto. Mwisho wa EndGame, steve aliporudisha ile tessaract, hakurudi in 2010s timeline, alibaki kule, then akaenda have ile dance aliyom-promise peggy. baadae tunaona anaulizwa na yule mwana black "if it was worth it?", akajibu kuwa alichukuwa ushauri wa ironman akaenda "have a a dance with peggy and full life (seeing how he aged)". So mkuu unless waliamua kuwa childless au peggy alikuwa na issues au super soldier serum ilimzuia steve kuwa na uwezo wa kuzalisha viable sperms, then inawezekana wana watoto in this timeline, marvel watatu-surprise mbele ya safari.

Na peggy walikuwa na watoto wamewaweka kwenye bunker la iron man huko kwenye hiyo timeline unayosema according to comics lakin
 
Kiumbe yeyote anayebeba au miliki infinity stone anakuwa na nguvu hata scarlet witch unayemzungumzia Wanda maxmoff power yake inatokana na infinity stone ( mind stone) angalia season ya Wanda and vision for more reference

Mwengine carol Denver / captain marvel power yake inatokana na infinity stone

That's why alikuwa na nguvu hata thanos ambaye ni eternal alishangaa
Nimekupata iyo wander vision subili nitafute nijuwe chanzo cha nguvu zake
 
Back
Top Bottom