Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #381
Wakuu niliuliza swali ila kabla ya kulitolea ufafanuzi nikala Umeme. Thanks God I'm back, ngoja nifafanue kidogo..Nilitaka kujua ni Character gani hasa mnampenda kutokana na matendo yake?
Binafsi nikichukua character wote niliowahi kuwatazama kwenye series na muvi mabalimbali wapo kadhaa nawapenda na kuwafanya kama Idol wangu matendo yao ninajitahidi kuyaishi. Nitwapanga kwa mtirirko
1: Jon Snow (Game of thrones)
Huyu ndio character namba moja nayempenda toka nijue kuangalia Series na muvi, Sababu kuu Kwanza anajali hali za watu wengine, Hua hasemi uongo kamwe, Ana huruma yupo radhi kufa ajili ya wengine. Hana tamaa ya material au madaraka like me.
Ndio maana namtumia as my Avatar, and in real life kuna vitu tunafanana sitavitaja.
2: Glenn (Walking Dead)
Huyu jamaa ni mfano wa binaadamu wenye kujali maumivu ya mwingine. Yupo radhi kufa aokoe wengine namkubali sana kwa hilo...Kaokoa wqtu wengi sana.
3: Daredevil (Charlie Cox)
Huyu bwana namkubali sana na napenda alivyo Humble,smart and kindful. Kwa waliotazama series watakubaliana nami, Aliacha kazi baada ya intern alipogundua wanasema uongo (I'm obsessed with Truth too)
4: Steve Grant Rogers na Optimas Prime
Steve aligombana na dunia nzima ajili ya kumtetea Rafiki yake Bucky, na Optimas Prime aligombana na Race yake (Decepticon) ajili ya kuokoa wanadamu. Nawakubali sana hawa

Iron man: kwanza kabisa billionea, jiniasi, play boy, familia yangu nitaiweka kipaumbele, superhero.
[emoji3] unataka kuishi kwenye stark tower
Hah kuna tom hardy na antman .. their sense of humour na relationship quarrels with their ex-s [emoji28][emoji28]tunaachana lkn bado tunabonga!!
Dr. Bruce Banner
-mkimya, hana makuu, ilibaki kidogo a-date na Natasha Romannov, mwanafizikia
Peter Quill
Jamani mwenywe izo comics book naomba anitumie