Marvel Cinematic Universe special thread

Wakuu niliuliza swali ila kabla ya kulitolea ufafanuzi nikala Umeme. Thanks God I'm back, ngoja nifafanue kidogo..Nilitaka kujua ni Character gani hasa mnampenda kutokana na matendo yake?

Binafsi nikichukua character wote niliowahi kuwatazama kwenye series na muvi mabalimbali wapo kadhaa nawapenda na kuwafanya kama Idol wangu matendo yao ninajitahidi kuyaishi. Nitwapanga kwa mtirirko

1: Jon Snow (Game of thrones)
Huyu ndio character namba moja nayempenda toka nijue kuangalia Series na muvi, Sababu kuu Kwanza anajali hali za watu wengine, Hua hasemi uongo kamwe, Ana huruma yupo radhi kufa ajili ya wengine. Hana tamaa ya material au madaraka like me.
Ndio maana namtumia as my Avatar, and in real life kuna vitu tunafanana sitavitaja.

2: Glenn (Walking Dead)
Huyu jamaa ni mfano wa binaadamu wenye kujali maumivu ya mwingine. Yupo radhi kufa aokoe wengine namkubali sana kwa hilo...Kaokoa wqtu wengi sana.

3: Daredevil (Charlie Cox)
Huyu bwana namkubali sana na napenda alivyo Humble,smart and kindful. Kwa waliotazama series watakubaliana nami, Aliacha kazi baada ya intern alipogundua wanasema uongo (I'm obsessed with Truth too)

4: Steve Grant Rogers na Optimas Prime

Steve aligombana na dunia nzima ajili ya kumtetea Rafiki yake Bucky, na Optimas Prime aligombana na Race yake (Decepticon) ajili ya kuokoa wanadamu. Nawakubali sana hawa
Iron man: kwanza kabisa billionea, jiniasi, play boy, familia yangu nitaiweka kipaumbele, superhero.

[emoji3] unataka kuishi kwenye stark tower

Hah kuna tom hardy na antman .. their sense of humour na relationship quarrels with their ex-s [emoji28][emoji28]tunaachana lkn bado tunabonga!!

Dr. Bruce Banner
-mkimya, hana makuu, ilibaki kidogo a-date na Natasha Romannov, mwanafizikia

Peter Quill

Jamani mwenywe izo comics book naomba anitumie
 

character ambae siku zote anafanya good & right things huwa simuamin niko hivyo labda i have a fucked up mind au something ila ndio hivyo. Najua kuna watu wazuri ila wako wachache sana nna jamaa angu mmoja huwa hasemagi uongo(atleast most of the time) anasemaga vitu ambavyo vinawaumiza watu... ukweli ni mgumu, but it is what it is.

Nachojua kufanya vitu ambavyo sio sahihi it feels good ila watu hawafanyi hivyo vitu sababu ya kuogopa consequences, ila wale wanaofanya mabaya ndio wachache ambao wako crazy enough kufanya the unthinkable

Tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunawapenda super heros sana especially Spiderman lakin tunavyokuwa tunaelewa kuwa hatuwez kuwa selfless kama spider-man...tunawaelewa villains kuhusu kwann wako vile

Studies have proven that we are more likely to sympathize with characters who are similar to us(labda wewe upo good ndio maana una ji relate na John Snow.. i guess i am a bad guy then[emoji28])

Good guys are often portrayed in movies as nearly perfect, and it's hard to relate to them. We all have our own imperfections and a dark side. So, villains are often more realistic than good guys are.
 
Napenda technology Asa mamitambo Iron Man i like tht man I feel m
 
I'm trying to comprehend your pitch pal!
Unaposema kwamba good guy wapo potrayed perfect in good way na bad guy ndio wapo realistic unamaanisha nini?? Kwamba hao good guy wanafeki?? Ila hao badguy ndio hawafeki character yao??

Confusing🤔

Bt leo namalizia S4 ya Ricky and morty
 
kwa upande wa marvel namkubali zaidi ghost rider,ruthless,brutal,huwa napenda kumaliza mambo epsecial kisasi nalipa mapema sana ili nafsi iwe na amani maisha yaendelee
 
character mwingine ninayemkubali ni spider man yule wa kwanza kabisa,jamaa alikua very fun,smart,hapend ujuaji,in other way nipo ivyo
 
ila marvel hawa wanachanganya siyo rahisi kuchagua mmoja,mwingine ninayemkubali sana ni black panther,hasa kwa kazi aliyoifanya kwenye captain america civil war,
 
Nje ya mada: hivi, No way home itaachiwa lini online? Nimechoka kusubiri.
 
kwa upande wa marvel namkubali zaidi ghost rider,ruthless,brutal,huwa napenda kumaliza mambo epsecial kisasi nalipa mapema sana ili nafsi iwe na amani maisha yaendelee
Basi Punnisher na Deadpool watakufaa pia
 
Challenge #02

Kati ya Captain America na Optimas Prime, nani anatoa Speech bora yenye kuhamasisha

Captain america Speech


Optimus prime speech


Our races united by a history long forgotten, and a future we shall face together. I, am Optimus Prime, and I send this message so that our pasts will always be remembered. For in those memories, we live on.
 
Challenge #02

Kati ya Captain America na Optimas Prime, nani anatoa Speech bora yenye kuhamasisha

Captain america Speech



Optimus prime speech

Rogers anatoa speech za kuhamasisha nzuri kama Endgame pale Rocket na Paul Rudd wakawa wanasema “he’s pretty good at that”[emoji28]

Optimus prime ana sauti ya aina yake kwa sauti tu anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…