Marvel Cinematic Universe special thread

Amini mzee hawan malengo kwanz ,sema kuna part znashangaza San aliwezaje kurudisha mda nyuma bila stone of time!?

Kwa nachofahamu hawakurudisha mda nyuma ila walienda past kwenye points in time, ndio maana baadae wakarudi...walitumia Quantum mechanics kama mbadala wa time stone,kama ulisoma physics umepata idea
 
Series ya WANDAVISION tumeishia tulipoishia. MCU wamesema hakuna muendelezo.

sikuwa shabiki kivile, nahis nshaamia kwa Moon Knight kuna vitu vingi ntajifunza kuzingatia na baadhi ya mambo nliyopitia
 
Ahsanteni sana kwa kunihamasisha mates, Sijawahi kufikiria kufanya hili kabisa na nimejikuta natamani kufanya hivyo

Tatizo ni kua sina ujuzi wa kutengeneza video lakinipia nina sauti mbayambaya sana yaani katika kitu sipendi kukisikia masikioni mwangu hua ni sauti yangu😞
you should definitely get ur own youtube channel

Exactly, We'll support you accordingly.

Yes brother,ndugu yetu ana madini mengi sana.
 
Wakuu sijapendezwa na hili jambo, Huyu mwenzetu kauliza muda mrefu ila hakupatiwa majibu. Mkifanya hivi huu uzi unakua hauna maana kabisa maana lengo ni kupashana habari na kujuzana yale tunayoyafahamu.. ndio maana mtu akiuliza kitu humu hua najitahidi niandike gazeti ili apate ufafanuzi.. Sio poa asee, lengo tuwe kitu kimoja humu.
_____
Back to the topic...
Uzuri hizi muvi za X-Men zote ninazo hadi New mutants, so mkuu jibu la swali lako ni kwamba..

Moja ya kitu walichofeli watengenezaji wa hizi muvi sidhani kama walikua na continuity plan ya franchise nzima ndio maana ukifuatilia utagundua kuna makosa mengi ya story development. Mfano mdogo tu angalia muvi ya Dark Phoenix ambayo imesetiwa miaka ya 90s Magneto alikua ni kijana ila ukija X1,2& 3 ambazo zimesetiwa miaka ya 20s Magneto alikua mzee kabisa kwamba just in 10yrs alitoka ukijana kwenda uzee....So utakuja kugundua kwamba hapo kuna makosa ya Character development.

So hizi muvi za foxVerse zina makosa mengi kwenye storyline so cha msingi anaalia kisha achana nazo tu zitakuumiza kichwa. Hopefully MCU watawafanyia kazi vyema
Nilikuwa nacheck xmen hap sema kuna ka mkanganyiko sijakaelewe.
1. Kwenye origin: wolverine naona logan alikuwa volunteer kwenye kuweka iron af then nakuja kuona kwenye xmen apocalypse ni kama walifanya kumforce, hii ilikaaje?
2.kwenye days of future past mwishon inaonekana logan alichukuliwa na mystique in form of commender stryker then in apocalypse some how naona alikamatwa na stryker. How and when does that happen?
3.kwenye origins inaonekana scott anakutana na prof Xavier for first time baada ya kuokolewa na logan, then in apocalypse naona alikuwa introduced kwa prof via his brother, hii imekaaje hapo?
 
Tatizo ni kua sina ujuzi wa kutengeneza video lakinipia nina sauti mbayambaya sana yaani katika kitu sipendi kukisikia masikioni mwangu hua ni sauti yangu[emoji20]

Ujuzi sio shida unaweza kujifunza YouTube tutorials au unaweza pata mtu wa kukufanyia editing, kama uko na mda utaweza

kwenye sauti i feel your pain, ila unaweza ukaikubali sauti yako kwa kufanya mazoezi..nilikuwa na interview nikawa nafanya mazoez ya clarity, kuongea na kurecord baadae nasikiliza, at first nliichukia sauti yangu sema siku hiz najitahid kuipenda..ndio sauti yako hakuna chaguo muhimu ni kuwa unasikika vizuri basi inatosha.

Kila mtu ana sauti tofauti na hizo sauti zipo nzuri in different ways, muangalie akwafina( Shangchi’s friend) ana sauti ya 48 years old divorced attorney ila bado watu wanampenda, Cate blanchett(Hella) ana sauti fulan ya ajabu bado naiona tamu na nampenda [emoji28], kwahiyo sauti sio reason Ndg yetu...you “Just do it” kama Nike
 
Yule Duuh kwny sanch Ile sio sauti ila iko pow
 
Nlikuwa napita kwenye internet nimekuta mtu kauliza hili swali

“Will wolverine healing factor reverse his circumcision?”

[emoji23] watu wana overthink aisee
Labda tuwaze kabla hajapigwa sindano zile kuna kama ugonjwa alikua nao na akapona?
 
Ahsanteni sana kwa kunihamasisha mates, Sijawahi kufikiria kufanya hili kabisa na nimejikuta natamani kufanya hivyo

Tatizo ni kua sina ujuzi wa kutengeneza video lakinipia nina sauti mbayambaya sana yaani katika kitu sipendi kukisikia masikioni mwangu hua ni sauti yangu[emoji20]
Mbona kama vikwazo ni vyako mwemyewe,sauti mbaya umesema wewe ndugu, harmo rapa sio mzuri kimuonekano lakini sio kwamba hawez vaa na kupendeza.
 
Wakuu sijapendezwa na hili jambo, Huyu mwenzetu kauliza muda mrefu ila hakupatiwa majibu. Mkifanya hivi huu uzi unakua hauna maana kabisa maana lengo ni kupashana habari na kujuzana yale tunayoyafahamu.. ndio maana mtu akiuliza kitu humu hua najitahidi niandike gazeti ili apate ufafanuzi.. Sio poa asee, lengo tuwe kitu kimoja humu.
_____
Back to the topic...
Uzuri hizi muvi za X-Men zote ninazo hadi New mutants, so mkuu jibu la swali lako ni kwamba..

Moja ya kitu walichofeli watengenezaji wa hizi muvi sidhani kama walikua na continuity plan ya franchise nzima ndio maana ukifuatilia utagundua kuna makosa mengi ya story development. Mfano mdogo tu angalia muvi ya Dark Phoenix ambayo imesetiwa miaka ya 90s Magneto alikua ni kijana ila ukija X1,2& 3 ambazo zimesetiwa miaka ya 20s Magneto alikua mzee kabisa kwamba just in 10yrs alitoka ukijana kwenda uzee....So utakuja kugundua kwamba hapo kuna makosa ya Character development.

So hizi muvi za foxVerse zina makosa mengi kwenye storyline so cha msingi anaalia kisha achana nazo tu zitakuumiza kichwa. Hopefully MCU watawafanyia kazi vyema
Kimsingi mm nilikosa jibu zuri,ila nimejifunza ni hata kusema "subiria waje"
 
Marvel wanazidisha sasa [emoji849][emoji849][emoji849]
Screenshot_20220325-222610_Twitter.jpg
 
Marvel wanazidisha sasa [emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 2164411

Sema deadpool akiwa wakike I can’t imagine the sexual tension maana hiyo picha says it all

nobody does deadpool better than Ryan Reynolds labda huyo binti awe wa alternate timeline...[emoji3166] deadpool wa kike atakuwa kama Haley Quinn wa kule DCEU

If i was to date Supervillain wa MCU ningemdate Hella dada ake thor, i love the accent kiujumla nampenda hella... anakwambia “you’re on my seat now get up”
 
Back
Top Bottom