Ujuzi sio shida unaweza kujifunza YouTube tutorials au unaweza pata mtu wa kukufanyia editing, kama uko na mda utaweza
kwenye sauti i feel your pain, ila unaweza ukaikubali sauti yako kwa kufanya mazoezi..nilikuwa na interview nikawa nafanya mazoez ya clarity, kuongea na kurecord baadae nasikiliza, at first nliichukia sauti yangu sema siku hiz najitahid kuipenda..ndio sauti yako hakuna chaguo muhimu ni kuwa unasikika vizuri basi inatosha.
Kila mtu ana sauti tofauti na hizo sauti zipo nzuri in different ways, muangalie akwafina( Shangchi’s friend) ana sauti ya 48 years old divorced attorney ila bado watu wanampenda, Cate blanchett(Hella) ana sauti fulan ya ajabu bado naiona tamu na nampenda [emoji28], kwahiyo sauti sio reason Ndg yetu...you “Just do it” kama Nike