Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Kikongwe nani cap au tony?Tony alimpiga ndogo cap akawa anasema
“actually he's the boss, I just pay for everything and design everything, make everyone look cooler”
Kwahiyo yeah upo sahihi, halafu pia yeye ndio kikongwe kwahiyo ana hekima... thor ni brat
Kikongwe nani cap au tony?
Tony alimpiga ndogo cap akawa anasema
“actually he's the boss, I just pay for everything and design everything, make everyone look cooler”
Kwahiyo yeah upo sahihi, halafu pia yeye ndio kikongwe kwahiyo ana hekima... thor ni brat
Sasa kama imekuwa banned Arab countries na China unategemea nini hamna kitu hapoWell, kwenye Comics kiongozi wa Avangers ni Steve Rogers ila baada ya Tukio la Civil War kiongozi wa Avangers alikuja kua Tony stark. Ndio maana kwenye muvi ya Avangers infinity way Cap hakuvaa nguo yenye bendera wala nyota maana yake he's out of law coz that time alikua bado ni fugitive of the law. Kwenye muvi wanaonyesha tony na Cap wote ni viongozi.
Cap ndio kikomgwe Coz alikua ana 97/6 yrs.
____
Naweka ahadi hapa kama MoM itafikisha 1.2B$ basi nitaacha kushabikia Marvel Studios. Wiki Sasa hata 600M hawajafika.
Yeah i think so,the IT guy.British guy yupi Fitz au?
Ndo naimalizia kuidownload apa niicheckKwa aliyekwisha ona Morbius.... Nahitaji maelezo sijaielewa vizuri.
Hiko[emoji4]Kwa aliyekwisha ona Morbius.... Nahitaji maelezo sijaielewa vizuri.
Captain America anarudi tena lini jamani? Mi shabiki mkubwa sana wa Cap
Naungana na wewe…hii muvi cinema itajikuta na watu wawili…its obvious haitakua na actions zaidi ya comedy nyingiTrailer ya she-Hulk imetoka kaiangalieni.
Binafsi sijaipenda sijui labda i’ll change my mind, huu mpango wao wa kuweka heroes wanawake wanakata vibe
Yes , ila ni series ya Disney +Naungana na wewe…hii muvi cinema itajikuta na watu wawili…its obvious haitakua na actions zaidi ya comedy nyingi
Shrek live action.Trailer ya she-Hulk imetoka kaiangalieni.
Binafsi sijaipenda sijui labda i’ll change my mind, huu mpango wao wa kuweka heroes wanawake wanakata vibe
Wameshafeli vibaya sana, + CGI mbovu. Labda warekebishe hawajachelewa sana. 2 months more.Shrek live action.
Niliona hii series yao ya The Falcon And The Winter Soldier,Yule Sam Wilson(tHE Falcon) kaanza kujiita Cap America na kaanza kutumia ile ngao ya Steve Roger maana alipewa kwenye Endgame mwisho sa nahisi labda akawa ndo Cap mpya.Captain America anarudi tena lini jamani? Mi shabiki mkubwa sana wa Cap
😅🙌🏽 aah, I know rightShrek live action.
Kwenye CGI ndio dah hovyo sema kuna watu wamependa, Marvel series walianza vizuri sana mpaka hapa kwa Moon-knight huko tunakoendelea kwa Ms Marvel na hii hata sifahamuWameshafeli vibaya sana, + CGI mbovu. Labda warekebishe hawajachelewa sana. 2 months more.